Alcatraz: Gereza la kihistoria la 'watukufu' wa uhalifu

Alcatraz: Gereza la kihistoria la 'watukufu' wa uhalifu

Ipo series yake... Sema iliishia katikati haikuendelea
 
Kuna series yake hii kitu inaitwa Alcatraz alafu kuna kama mambo ya kishirikina kidogo vipi myoa mada unaweza kufafanua hapo?au ni just movie
 
Binadamu hata umfunge sehemu haina hata hewa atatoroka tu, ni viumbe hatari sana..funzo kwa wanasiasa, walio na watoto wa kike na wenye wake!
 
Back
Top Bottom