Ha ha we jamaa si unatengeneza sumu sasaNapiga mixer ya Kilimanjaro na Safari Lager hapa Malaika-Dodoma.
Jana nilikuwa defranceYa kusogezea safariView attachment 736319
Mzigua una hatari ww.... [emoji2] [emoji2] [emoji2]Eeeh. Sema hata hazitatosha hizi. Tuko na Brevis
Kusichana kidogo unashusha chote kwanza then unahamia kwa lager....Kirikuu na kisichana pembeni
Hz wanauza shs ngap
Sio sana [emoji23][emoji23]Mzigua una hatari ww.... [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Halafu hatualikani..... [emoji20] [emoji20] [emoji20]
Hivi kwanini msibani watu wengi hunywa pombe?, hadi kuna usemi "msiba bila pombe haujakamilika"
Nashangaa hujapewa LIKE mkuu, pamoja na kwamba huu uzi ni muhimu kuliko hata maandamano ya Mange!Wale wala mtungi haka ni kauzi ketu. Sema nini unatumia muda upi wakati gani na mahala gani?
Msibani jamani.Halafu hatualikani..... [emoji20] [emoji20] [emoji20]
[emoji2] [emoji2] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji54] [emoji54] [emoji54]Msibani jamani.
35 chupa ya katiHz wanauza shs ngap
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Msibani jamani.