Alcohol drinkers special thread

Alcohol drinkers special thread

IMG_20180124_190400.jpeg
 
Hivi kwanini msibani watu wengi hunywa pombe?, hadi kuna usemi "msiba bila pombe haujakamilika"
 
Wale wala mtungi haka ni kauzi ketu. Sema nini unatumia muda upi wakati gani na mahala gani?
Nashangaa hujapewa LIKE mkuu, pamoja na kwamba huu uzi ni muhimu kuliko hata maandamano ya Mange!
Anyway labda watajifikiria nawo..
 
Back
Top Bottom