Alcohol drinkers special thread

Kamuda ka saa moja moja hivi nitakuwa Rainbow kwaajili ya game then game ikiisha naamia Malaika kuangalia kuku mzuri.
 
hahaha ss tabu zote hizo za nn!!
Tabu baadae mkuu, ila unalewa kwanza mizuka inapanda uwezo wa kufikiri unakua mkubwa pombe tamu mkuu ila Safari lager mikono juu, mimi na k vant banah
 
...
K vant na mbuzi choma weekend mood activated
 
Kibapa walisema kinakomaza sura na pia huleta kisukari hivyo nimehamia ktk valeur sasa
 

Attachments

  • IMG_20180407_141118.jpg
    20.3 KB · Views: 51
Shujaa na k vant ni vinywaji vyangu pendwa
 
kuna jamaa moja humu jf aliwahi kusema mwanaume ambaye hanywi pombe hana akili,yapi maoni yenu wadau wa vilaji
 
Vipi wale wa SHIMHA WARAGI wako humu kweli[emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Nakunywa zangu Konyagi hapa baada ya ushindi mtamu wa Man U na Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…