Kuna nwingine akamjibu,kama hanywi pombe inabidi ajifunze tu kufuma vitambaakuna jamaa moja humu jf aliwahi kusema mwanaume ambaye hanywi pombe hana akili,yapi maoni yenu wadau wa vilaji
Ni pilsner mkuu sio plisnerPlisner King natamani sana kuionja sema hawajaisambaza vya kutosha.
Walevi bwanaa [emoji16][emoji16]Nauelewa sana huu mzigo, hasa kwenye mbio fupi unamix na Serengeti kitu wali nazi