Alcohol drinkers special thread

Alcohol drinkers special thread

The Great Park alie Karibu aje anywe bia mbili akalale
 
Nafunga weekend taratiibu
20180408_182237.jpg
 
Plisner King natamani sana kuionja sema hawajaisambaza vya kutosha.
 
Leo sijaonja chichote najisikia kama damu haitembei aisee
 
Mi nakunywa wine, whisky, vodka yani unalewa temporarily baada ya muda unakuwa mpya you can even drive
 
Back
Top Bottom