Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Hawatakiwi kunywa au?Great thinker
Chaaaa. We kibokoAisee nimejaribu kuvumilia nimeona ni hatar.. Viceroy ya asubuh kueka kwanza akili sawa
Kwan mkuu ww asubuh akili huwa unaieka sawa na brand ipi..?Chaaaa. We kiboko
Asubuhi sinywi kama naingia ofisini. Nikiwa home nakunywa chochote tuKwan mkuu ww asubuh akili huwa unaieka sawa na brand ipi..?
Mkuu wengine huku kama sisi bila kumtaftia huyo boss kutoa LOCK unaeza ona kuwa psychologically traumaAsubuhi sinywi kama naingia ofisini. Nikiwa home nakunywa chochote tu
Aiseee. Kuna watu mnajimuduMkuu wengine huku kama sisi bila kumtaftia huyo boss kutoa LOCK unaeza ona kuwa psychologically trauma
Bwana Jambazi mbona kama inaonesha wewe ni kichwa Panzi... [emoji219]bora nilewe nikiwa Bar za jirani na skani,
Hivi mtu akinywa pombe asitukane mtu, asipigane, wala asizini. ni dhambi?Acheni kutenda dhambi
Pombe ni dhambi shauri lenu!
Bible imeandika..maisha yafaa nini bila pombe??kunywa kiasiAcheni kutenda dhambi
Pombe ni dhambi shauri lenu!
Hata mimi nashndwa kumuelewa huyu jamaaHawatakiwi kunywa au?
Sisi RC pombe si dhambi. Ila kwa kiasi.Bible imeandika..maisha yafaa nini bila pombe??kunywa kiasi
Ndio pombe haina tatizo lolote...watu tu wanakusudia kuichafua pombeSisi RC pombe si dhambi. Ila kwa kiasi.
yap sio dhambi kama unakunywa just for refreshment!Sisi RC pombe si dhambi. Ila kwa kiasi.
Hivi hii ni abbreviation au acronym? [emoji41] [emoji102]T.G.I.F🙂
Eeehyap sio dhambi kama unakunywa just for refreshment!
T.G.I.F=Thanks God Is FridayHivi hii ni abbreviation au acronym? [emoji41] [emoji102]
Dah umenitoa ushamba mkuu ningejulia wap misemo ya kisasa[emoji106]T.G.I.F=Thanks God Is Friday