Alcohol drinkers special thread

Alcohol drinkers special thread

Sasa hii sio kiuu ni hatari. Kila ninaposema leo nipumzike kooo linaanza kuwasha mapema sana.
 
Naomben dawa ya hangover make hata nkinywa maji natapika supu haiend, leo imekua red monday kwangu.
 
Ije mvua liwake jua ratiba haibadiliki
IMG-20180416-WA0027.jpg
 
Kama kawa kama dawa huu ndo mda mzuri wa kutafuta kimiminika cha double au single shots za Bacardi nishushie chakula nirud chap hapo ofisin nikapambane na boss.
 
Hapa mwendo wa konyagi tuu, beer sijui kwa nini inanichukuwa mda mrefu sama kulewa, Ila kiboko yangu ni hivi vi wine vinaitwa imagi...nikinywa vitatu tuu naenda kulala
 
Siku hizi safari zimekua tamu...
Yani vibia vya 1500-2000 ndio habari ya mjini asante Magu.
 
Back
Top Bottom