Alcohol drinkers special thread

Leo mimi hapana. Kilichonikuta jana ni hatariii. Nilikuwa na laki tatu mfukoni etiii nimeamka na 120. Hesabu haikubali kabisa.
 
Sasa hii sio kiuu ni hatari. Kila ninaposema leo nipumzike kooo linaanza kuwasha mapema sana.
 
Naomben dawa ya hangover make hata nkinywa maji natapika supu haiend, leo imekua red monday kwangu.
 
Kama kawa kama dawa huu ndo mda mzuri wa kutafuta kimiminika cha double au single shots za Bacardi nishushie chakula nirud chap hapo ofisin nikapambane na boss.
 
Hapa mwendo wa konyagi tuu, beer sijui kwa nini inanichukuwa mda mrefu sama kulewa, Ila kiboko yangu ni hivi vi wine vinaitwa imagi...nikinywa vitatu tuu naenda kulala
 
Siku hizi safari zimekua tamu...
Yani vibia vya 1500-2000 ndio habari ya mjini asante Magu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…