nobodylikedme
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 741
- 768
Swali lako la kichoko nimeshakujibu ila kwa umbugira wako huwezi kujua kama nimekujibu au hapana na wala sina haja ya kukujibu tena. Tatizo huu upumbavuu wa kurithi ndio unaokusumbua sioni haja ya kuendelea kujibishana na wewe ngurue poriii tena hii ndio iwe mwisho kuninukuuhahahahah tatizo unaongea vitu ambavyo havina maaana bwana mdogo..yani unajaza paragraph vitu vya tofauti na nilicho kuuliza "KAMA POMBE NDO CHANZO CHA UMASKINI WE AMBAYE HAUNYWI NI TAJIRI"?? Tatizo ni akili za nduguzo tuu sio kama wewe unavyomwaga mashudu hapa.. Natarajia matusi mengine jitahidi yawe mapya tafadhari
Unahasara sana kama halimashauri ya kichwa chako ndo ipo hivi.. ila hii mipasho unawazidi hata dada zako, halafu tabia za kichoko unaziongelea sana hapana shaka wewe ni certified choko. Maana huna akili ulizo kuwa nazo kwa arguement hizi..Swali lako la kichoko nimeshakujibu ila kwa umbugira wako huwezi kujua kama nimekujibu au hapana na wala sina haja ya kukujibu tena. Tatizo huu upumbavuu wa kurithi ndio unaokusumbua sioni haja ya kuendelea kujibishana na wewe ngurue poriii tena hii ndio iwe mwisho kuninukuu
Kaka zako walikuwa wanalewa sifa, usihusishe pombe na kufilisika kwao.Nachukia sana pombe ndio chanzo kilicho watia umasikini kaka zangu waliokuwa wana kazi zao nzuri tu.
Huyu jamaa akili yake ina matatizo halafu anakomaa kuargue ujinga tuKaka zako walikuwa wanalewa sifa, usihusishe pombe na kufilisika kwao.
KUNYWA POMBE UPATE AKILI!
Nami taratibu naenda kutuliza koo na k vantMi mmoja wapo yayari jioni imefafika nipo mahali narefresh
Mkuu punguza jazba haina haja ya kubishana mwisho wa siku hakuna anayefaidika mambo mengine unaacha tu sorry lakiniSina haja ya kuendelea kubishana na wewe kenge sababu ulishatoka kwenye line mwenyewe ya kujibiwa kama binadamu hivyo nakupa unachokistahili chokoraa wewe!
Kama ni kuandika hoja nimeshaandika tangu mwanzo ila kwa akili zako za bata ulishindwa kunielewa nakufikisha huku mwenyewe! Umemdhalilisha na kumtukana mwenyewe mama yako pale ulipomuhusisha na ujinga na hakika huu ujinga inaonekana kabisa umerithi kutoka kwake, yawezekana alikuzaa vyema ila alishindwa kukulea vyema kwa ujinga wake mwenyewe kiasi kwamba mpaka Leo hii umekuwa upumbavuuu na mjinga kwa kila mtu.
Mimi ni mtu mwenye akili zangu timamu kabisa isipokuwa nikikutana na matahira kama wewe nawapa mnachokistahili hili siku nyingine uache kukurupuka kwa kujifanya unaelewa sana na akili zako za kichokoraa mtoto wa mbwea wewe.
Narudia tena mpuuzi,mjinga na mpumbavuu wa kurithi ni wewe ulioshindwa kunielewa tangu mwanzo kwa vitu vidogo.
Maisha yafaa nini bila pombe??Bible imeandika..maisha yafaa nini bila pombe??kunywa kiasi
Ukiupitia huu uzi ukiwa unasukumizia ka kipolo ka vodka na ka fegi kwa mbaaali .Aya sasa wale tuliokuwa tukiombea weeknd ifike ndo kama hvi mambo inaenda asubuh mapema baada ya kutoka gym mda wa 6:00am inabdi nipate shots kwanza za kueka kichwa sawa nkisubiria bath.
Cheers"!
Angalia sana hizo mixerNapiga mixer ya Kilimanjaro na Safari Lager hapa Malaika-Dodoma.
Wengine hunywa sana ili walale pale msibani bila shida manake ukilala msibani hafu uwe macho makavu utaona usiku mrefu sana kwa baridi na mbu watakaokukong'otaHivi kwanini msibani watu wengi hunywa pombe?, hadi kuna usemi "msiba bila pombe haujakamilika"
Hivi huu utaratibu wa kulala kwenye misiba ni kutokana na dini zetu (uislam na ukristo) ama ni mila za kiafrika? Nchi nyingine Afrika wanafanya hivi? Na nchi za ulaya, amerika na asia wanautaratibu huu?Wengine hunywa sana ili walale pale msibani bila shida manake ukilala msibani hafu uwe macho makavu utaona usiku mrefu sana kwa baridi na mbu watakaokukong'ota
Ndio ndio...Maisha yafaa nini bila pombe??
Kwa nchi nyingi za afrika hufanya hivyo ila kwa ulaya,america na Asia sina uhakika. So nikilitazama kiundani naona ni suala la kiutamaduni Wa waafrikaHivi huu utaratibu wa kulala kwenye misiba ni kutokana na dini zetu (uislam na ukristo) ama ni mila za kiafrika? Nchi nyingine Afrika wanafanya hivi? Na nchi za ulaya, amerika na asia wanautaratibu huu?
Sasa si bora waandae magodoro na dawa nyingi za mbu ili waombolezaji wawe comfortable?Wengine hunywa sana ili walale pale msibani bila shida manake ukilala msibani hafu uwe macho makavu utaona usiku mrefu sana kwa baridi na mbu watakaokukong'ota
Mkuu punguza jazba haina haja ya kubishana mwisho wa siku hakuna anayefaidika mambo mengine unaacha tu sorry lakini