Alcohol drinkers special thread

Alcohol drinkers special thread

hahahahah tatizo unaongea vitu ambavyo havina maaana bwana mdogo..yani unajaza paragraph vitu vya tofauti na nilicho kuuliza "KAMA POMBE NDO CHANZO CHA UMASKINI WE AMBAYE HAUNYWI NI TAJIRI"?? Tatizo ni akili za nduguzo tuu sio kama wewe unavyomwaga mashudu hapa.. Natarajia matusi mengine jitahidi yawe mapya tafadhari
Swali lako la kichoko nimeshakujibu ila kwa umbugira wako huwezi kujua kama nimekujibu au hapana na wala sina haja ya kukujibu tena. Tatizo huu upumbavuu wa kurithi ndio unaokusumbua sioni haja ya kuendelea kujibishana na wewe ngurue poriii tena hii ndio iwe mwisho kuninukuu
 
Unahasara sana kama halimashauri ya kichwa chako ndo ipo hivi.. ila hii mipasho unawazidi hata dada zako, halafu tabia za kichoko unaziongelea sana hapana shaka wewe ni certified choko. Maana huna akili ulizo kuwa nazo kwa arguement hizi..
 
Mnywaji mzuri huwa anatambua kipimo chake ama dalili zake za kulewa
 
Mods nikianzisha uzi wa wala msuba spesho sledi nawaomba msiufute.
 
Sina haja ya kuendelea kubishana na wewe kenge sababu ulishatoka kwenye line mwenyewe ya kujibiwa kama binadamu hivyo nakupa unachokistahili chokoraa wewe!

Kama ni kuandika hoja nimeshaandika tangu mwanzo ila kwa akili zako za bata ulishindwa kunielewa nakufikisha huku mwenyewe! Umemdhalilisha na kumtukana mwenyewe mama yako pale ulipomuhusisha na ujinga na hakika huu ujinga inaonekana kabisa umerithi kutoka kwake, yawezekana alikuzaa vyema ila alishindwa kukulea vyema kwa ujinga wake mwenyewe kiasi kwamba mpaka Leo hii umekuwa upumbavuuu na mjinga kwa kila mtu.

Mimi ni mtu mwenye akili zangu timamu kabisa isipokuwa nikikutana na matahira kama wewe nawapa mnachokistahili hili siku nyingine uache kukurupuka kwa kujifanya unaelewa sana na akili zako za kichokoraa mtoto wa mbwea wewe.

Narudia tena mpuuzi,mjinga na mpumbavuu wa kurithi ni wewe ulioshindwa kunielewa tangu mwanzo kwa vitu vidogo.
Mkuu punguza jazba haina haja ya kubishana mwisho wa siku hakuna anayefaidika mambo mengine unaacha tu sorry lakini
 
Aya sasa wale tuliokuwa tukiombea weeknd ifike ndo kama hvi mambo inaenda asubuh mapema baada ya kutoka gym mda wa 6:00am inabdi nipate shots kwanza za kueka kichwa sawa nkisubiria bath.
Cheers"!
 
Aya sasa wale tuliokuwa tukiombea weeknd ifike ndo kama hvi mambo inaenda asubuh mapema baada ya kutoka gym mda wa 6:00am inabdi nipate shots kwanza za kueka kichwa sawa nkisubiria bath.
Cheers"!
Ukiupitia huu uzi ukiwa unasukumizia ka kipolo ka vodka na ka fegi kwa mbaaali .

Unaeeza sema uko peponi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aisee akafu ukute uko na baby kwa hapo pemben kaz yake anakuongezea kinywaj kweny glass kila ikiisha au anakunywesha anasindikiza na kabusu aisee huyu dem wangu ananikosha sans roho yeye hataki nizime tu.
 
Hivi kwanini msibani watu wengi hunywa pombe?, hadi kuna usemi "msiba bila pombe haujakamilika"
Wengine hunywa sana ili walale pale msibani bila shida manake ukilala msibani hafu uwe macho makavu utaona usiku mrefu sana kwa baridi na mbu watakaokukong'ota
 
Wengine hunywa sana ili walale pale msibani bila shida manake ukilala msibani hafu uwe macho makavu utaona usiku mrefu sana kwa baridi na mbu watakaokukong'ota
Hivi huu utaratibu wa kulala kwenye misiba ni kutokana na dini zetu (uislam na ukristo) ama ni mila za kiafrika? Nchi nyingine Afrika wanafanya hivi? Na nchi za ulaya, amerika na asia wanautaratibu huu?
 
Kwa nchi nyingi za afrika hufanya hivyo ila kwa ulaya,america na Asia sina uhakika. So nikilitazama kiundani naona ni suala la kiutamaduni Wa waafrika
 
Wengine hunywa sana ili walale pale msibani bila shida manake ukilala msibani hafu uwe macho makavu utaona usiku mrefu sana kwa baridi na mbu watakaokukong'ota
Sasa si bora waandae magodoro na dawa nyingi za mbu ili waombolezaji wawe comfortable?
Mkuu punguza jazba haina haja ya kubishana mwisho wa siku hakuna anayefaidika mambo mengine unaacha tu sorry lakini
 
Back
Top Bottom