Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
wewe hujamsoma huyu[emoji23][emoji23][emoji23]...umemchoma na lile swali la "wewe usiekunywa pombe umeshakua tajiri?"....Unafananisha tena pombe kwa mfano wa Unga? huo mfanoni irrelevant hauko relevant hivi kichwani umejaza nini mkuu. Shida sio kuichukia pombe, wala mimi sijazungumzia hayo, Usichanganye file kijana, Hoja yangu ni huwezi sema Pombe ndo chanzo cha umaskini huko kwa nduguzo mi nakwambia Ujinga wao ndo chanzo cha umaskini wao" Unajibu takataka nyingi tu unahama hama uwe unasoma kwanza ndo ujibu, soma uelewe sio kukurupuka ku reply ujinga hauto kutoka we mwanamke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hìi ni Amarula au Zanzi ?
Lapatio moja hio arifuLeo wap wakuu walioko atown?
Mambo mazuriView attachment 779328
Hahah Imagi hata wale walevi sugu wanaikubali sana,sijui ina nini ile kitu.Hapa mwendo wa konyagi tuu, beer sijui kwa nini inanichukuwa mda mrefu sama kulewa, Ila kiboko yangu ni hivi vi wine vinaitwa imagi...nikinywa vitatu tuu naenda kulala
bia siku hizi zimenikataa.
umehamia kwenye juice mkuu?
Sent from my iPhone using JamiiForums