Alcohol drinkers special thread

Alcohol drinkers special thread

Unafananisha tena pombe kwa mfano wa Unga? huo mfanoni irrelevant hauko relevant hivi kichwani umejaza nini mkuu. Shida sio kuichukia pombe, wala mimi sijazungumzia hayo, Usichanganye file kijana, Hoja yangu ni huwezi sema Pombe ndo chanzo cha umaskini huko kwa nduguzo mi nakwambia Ujinga wao ndo chanzo cha umaskini wao" Unajibu takataka nyingi tu unahama hama uwe unasoma kwanza ndo ujibu, soma uelewe sio kukurupuka ku reply ujinga hauto kutoka we mwanamke
wewe hujamsoma huyu[emoji23][emoji23][emoji23]...umemchoma na lile swali la "wewe usiekunywa pombe umeshakua tajiri?"....
ndomana povu linamtoka
 
Mambo mazuri
ice_2018-04-28-19-47-42-693.jpg
 
Hapa mwendo wa konyagi tuu, beer sijui kwa nini inanichukuwa mda mrefu sama kulewa, Ila kiboko yangu ni hivi vi wine vinaitwa imagi...nikinywa vitatu tuu naenda kulala
Hahah Imagi hata wale walevi sugu wanaikubali sana,sijui ina nini ile kitu.
 
Back
Top Bottom