EkzaktliView attachment 736010Bora kuyumba tuu hamna namna.
Yeeeesi manaake nkinywa safari ndo naonaga mmekunywa bia
Huyu jamaa enzi izo nna mapafu ya mbwa nilikua nampiga sana lakini siku izi uhenga ushawadia simuwezi nabugia safari tu
Eee ii kitu nzito inafaa sana kwasisi tuliokua tunakunywa konyagi kuliko serengeti, kilimanjaro sijui na uto tubia twa wadada silewagiTatizo la safari lager hangover yake ni balaa tu, yani mtu asubuhi unakua mnyonge mno na miguu hupoteza mawasiliano, anagalau k_vant sionagi nachoka asubuhi
Mkuu ilikuwa tabia yangu hiyoo na sio moja kuanzia mbili hadi tatu nikajikuta nanenepa sanaKipindi flani hivi nikiwa nasoma nilikua naamka asubuh nakula kiporo cha wali nashushia na safari[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Au chapati tatu na safari
STILL MESSI IS BETTER THAN CR7
Yap kuna job bila kuamsha akili haziendi kabisaKitu safari bana. Eti Ladha kamili, inayoridhisha zaidii. Safiii sana. Hapa ofisi nikikata kona tuuu nakutana na bango la castle lager kiukweli napata muuunkaliii wa kupiga kazi hatarii.
iii ni kweli za siku izi haziivi sana mpaka upige nne tano ndo unaanza kulisisikia wengeSafari ndio bia halisi ya mtanzania..japo siku hizi wanazingua sana,wanazilipua haziivi vizuri kama za hapo awali
hahahahahaah mi huwa nikiamka kama nimepigwa naona siku haiendi sema uki boost unakaa poa. uzuri lala umekula au fanya hivi ukiamka boost kisha kula vizuri ushibe oga safi kunywa maji kisha sikilizia unakuwa poa kabisa na usikae mbali na drink energTatizo la safari lager hangover yake ni balaa tu, yani mtu asubuhi unakua mnyonge mno na miguu hupoteza mawasiliano, anagalau k_vant sionagi nachoka asubuhi
iii ni kweli za siku izi haziivi sana mpaka upige nne tano ndo unaanza kulisisikia wenge