Alcohol drinkers special thread

Alcohol drinkers special thread

Kama juzi nimekunywa safari yenye ladha ya reds kabisa...sukari nyingi sana
 
Tatizo la safari lager hangover yake ni balaa tu, yani mtu asubuhi unakua mnyonge mno na miguu hupoteza mawasiliano, anagalau k_vant sionagi nachoka asubuhi
Eee ii kitu nzito inafaa sana kwasisi tuliokua tunakunywa konyagi kuliko serengeti, kilimanjaro sijui na uto tubia twa wadada silewagi
 
Kipindi flani hivi nikiwa nasoma nilikua naamka asubuh nakula kiporo cha wali nashushia na safari[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Au chapati tatu na safari


STILL MESSI IS BETTER THAN CR7
Mkuu ilikuwa tabia yangu hiyoo na sio moja kuanzia mbili hadi tatu nikajikuta nanenepa sana
 
Kitu safari bana. Eti Ladha kamili, inayoridhisha zaidii. Safiii sana. Hapa ofisi nikikata kona tuuu nakutana na bango la castle lager kiukweli napata muuunkaliii wa kupiga kazi hatarii.
Yap kuna job bila kuamsha akili haziendi kabisa
 
Safari ndio bia halisi ya mtanzania..japo siku hizi wanazingua sana,wanazilipua haziivi vizuri kama za hapo awali
iii ni kweli za siku izi haziivi sana mpaka upige nne tano ndo unaanza kulisisikia wenge
 
Tatizo la safari lager hangover yake ni balaa tu, yani mtu asubuhi unakua mnyonge mno na miguu hupoteza mawasiliano, anagalau k_vant sionagi nachoka asubuhi
hahahahahaah mi huwa nikiamka kama nimepigwa naona siku haiendi sema uki boost unakaa poa. uzuri lala umekula au fanya hivi ukiamka boost kisha kula vizuri ushibe oga safi kunywa maji kisha sikilizia unakuwa poa kabisa na usikae mbali na drink energ
 
Uzi Safi sana..hahaha
pub1.jpg
 
iii ni kweli za siku izi haziivi sana mpaka upige nne tano ndo unaanza kulisisikia wenge

Ni kweli. Ila nahisi demand iko juu hafu wanaogopa kuzalisha mingi maana hawajui baadae itakuwaje. Yaani unaingia Rainbow hapa Dodoma then unapata safari ya mwezi huuuu?????
 
Kitu don nyati au KITOKO VODKA.hii kitoko ni noma alc yake 40ABV yaani zaidi ya 40 nimetest juzi hapa sikumaliza viwili ingawa faru jon nammaliza!daahh hizi pombe zotatuua mwaka huu kila siku brand mpya inatoka
 
Back
Top Bottom