Alcohol drinkers special thread

Alcohol drinkers special thread

Nipo na washikaji wanapiga vyao
1523023983455.jpg
 
Etiiii. [emoji23][emoji23][emoji23]
ila kama uligawa papa kwa marehem unaogopa nn kukubali. si hayupo sasa.
ila wewe hujawahi kukubali kuwa ulimpa mtu fulani K. yani weeot unaotuhumiwa nao unakataa maana yake wewe ni bikra,
 
Nasubiri msiba uishe ndo niache maana marehemu akijua nimeacha pombe kisa msiba atakasirika sababu alikua anapenda nikilewa ninavyocheza [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukilewa unacheza eeh?basi naomba nikulnikuleweshe afu ucheze nikuone
 
Mimi kuna kamuda nusu nipoteeeee. Ila nao niko vizuri maeneo yangu hapa napata safariiiiiiiii
 
Nimetoka malizia Ka wine mchanganyo na spirit hapa,nipo vzr sn.Huku Cambodia hali ya hewa inaruhusu sn
 
Back
Top Bottom