Alcohol drinkers special thread

Alcohol drinkers special thread

.
images%20(3).jpeg
 
Mimi nimeanza usubuhi so saizi kichwa kama kimejaaa raia wanne wa upinzani. Ni hatari
 
Nani ulishawahi nambia kanila nikabisha? Kwanza mi sikataagi starehe zangu nikiliwa nasema kiroho safi
Unanitia hamu ya kula...napenda sana kula ila muoga...papa ni tamu jamani..naombaga
 
40 40 hapa naburuza serengeti mixer castle lager
Mkuu hapo 40 40 washenzi tu hawana parking afu sehemu yenyewe mbaya mashimo kila mahali wenye gari za chini tunapata shida sana. Nshaumiza Gari yangu sipataki tenaaaa hata unitie ofaa sijiiii
 
Piga sana kilimanjaro hapo Chuchu karibia na CBE Dodoma, saivi nakula Bear beer Arusha
 
Huu uzi umewekwa Alhamisi sasa hivi umejaa, yaonyesha JF ni wala kinywaji hiki na mimi nikiwemo. Ka wine tu basi tena ka White. Dry siyo ka sweet mhu.
 
Back
Top Bottom