Aleji ya macho

AIG

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
202
Reaction score
107
Wakuu nina tatizo la aleji ya macho kwa zaidi ya mwezi sasa nimeenda hospital CCBRT walinipa dawa za matone nimetumia lakini bado tatizo lipo mwenye kujua hata dawa ya asali aniambie manake hali si shwari.
 
Wakuu Nina tatizo la aleji ya macho kwa zaidi ya mwezi sasa.Nimeenda hospital Ccbrt walilnipa dawa za matone nimetumia lakini bado tatizo lipo

Mwenye kujua hata dawa ya asali aniambie manake hali si shwari.
Tumia dawa kama Cetrizine, inasaidia kupunguza kiwango cha histamine katika mwili. Histamine ndo kemikali ambayo inasababisha mzio (aleji), pamoja na hizo dawa walizokupa.
 
Tumia dawa kama Cetrizine, inasaidia kupunguza kiwango cha histamine katika mwili. Histamine ndo kemikali ambayo inasababisha mzio (aleji), pamoja na hizo dawa walizokupa.
Nashukuru Mkuu, Acha nizitafute hizo dawa
 
Kumbuka ulipita mahali fulani wana chomelea mageti Uka angalia michomo Hill ndo tatizo
 
Yanakuwa na rangi nyekundu halafu na kama mchanga hivi machoni
hizo wala sio dalili za aleji, labda kama hukujieleza vyema kwa daktari.

hebu usichoke kwenda kuonana na wataalamu wa macho hospitali nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…