Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinapatikana Pharmacy nyingi tu. Usiache kutumia na hizo za maji ( Hope ulipewa Alerchek). Macho yashawahi nisumbua sana, mpaka nikavaa miwani, By the moment naenda CCBRT ndo nikagundua ni allergy. Nilitumia B-Complex, Cetrizine, Alercheck na ivydexnico eye drops.Nashukuru Mkuu, Acha nizitafute hizo dawa
Mkuu,gharama zao zipoje? Maana hata mm mwanangu anasumbuliwa na tatzo hiloHebu jaribu kwenda pale International Eye Clinic makao makuu ya Halotel barabara ya Bagamoyo ukivuka mataa ya Moroko ukitokea Posta. Wapo vizuri sana
Inategemea mkuu na shida. Mimi nilienda macho yalikuwa yanasumbua hadi nikawa napata shida kuona yanawasha pia. Wana vipimo vyao wakapima na kubaini ni allegy. Wakanipatia dawa nimepona. Ila nilipenda vipimo vyao wako vizur. Nililipa 60KMkuu,gharama zao zipoje? Maana hata mm mwanangu anasumbuliwa na tatzo hilo
Hiyo ni vipimo Pamoja na dawa?Inategemea mkuu na shida. Mimi nilienda macho yalikuwa yanasumbua hadi nikawa napata shida kuona yanawasha pia. Wana vipimo vyao wakapima na kubaini ni allegy. Wakanipatia dawa nimepona. Ila nilipenda vipimo vyao wako vizur. Nililipa 60K
Nashukuru mkuu kwa nyongeza .Zinapatikana Pharmacy nyingi tu. Usiache kutumia na hizo za maji ( Hope ulipewa Alerchek). Macho yashawahi nisumbua sana, mpaka nikavaa miwani, By the moment naenda CCBRT ndo nikagundua ni allergy. Nilitumia B-Complex, Cetrizine, Alercheck na ivydexnico eye drops.
Wakuu nina tatizo la aleji ya macho kwa zaidi ya mwezi sasa nimeenda hospital CCBRT walinipa dawa za matone nimetumia lakini bado tatizo lipo mwenye kujua hata dawa ya asali aniambie manake hali si shwari.
Ndio mkuuHiyo ni vipimo Pamoja na dawa?