Alert

Alert

Joined
Feb 7, 2012
Posts
89
Reaction score
24
Kaeni mkao wa kula,
kwa wale WAZALENDO na WAAMINIFU nafasi za KAZI PCCB na TISS (Usalama wa taifa) zinakuja
 
Ni kweli kabisa, lakn wanahitaji vijana waadilifu! Nadhani unafahamu jinsi ya kuomba kwenye idara hiyo
 
Jaman nami nataka kuapply lakin cjui ni vp niapply...pls anayefaham ani-PM
 
Mna apply vipi?mnajua kweli au ndo longo longo zenu
kweli bwana TISS wametangaza kazi,jana nilipita wizara moja hivi!
nikasikia wanafanya internal recruitment kwa public servants
ila sijui external wanafanya lini?

ila mnajua maana ya TISS( Tanzania institute of social science) hii ndio nilikuwa na maanisha wakuu
mchana mwema! wana jf
 
aisee. . .
 
Back
Top Bottom