Chief nduna songea
Member
- Jul 30, 2018
- 50
- 89
Inasikitisha sana...Hehehe! Umeshapata soda ya mirinda nyeusi, tena ya baridiiii!!!!
Naskia wanaume huko kwenu wamepewa ushindani mkali na chupa za soda....mumekua legelege sana.
Acha ujinga mkuu. Hao ni wanaume wa dar na sio wa mikoani. [emoji23][emoji23][emoji23]Hehehe! Umeshapata soda ya mirinda nyeusi, tena ya baridiiii!!!!
Naskia wanaume huko kwenu wamepewa ushindani mkali na chupa za soda....mumekua legelege sana.
Tamaa mbaya sanaPolisi nchini Kenya wanamshikilia Joyce Aluta wa Mombasa kwa kosa la kuwawekea Wanaume dawa za kulevya kwenye pombe na kisha kuwaibia vitu mbalimbali kama simu, saa na wallet.
Joyce anadaiwa wakati mwingine kujifanya Kahaba na kisha akiondoka na Mteja mpaka nyumbani kwake huondoka na TV, Radio, Computer na vitu vingine
Polisi wanamshikilia Joyce na wamefanikiwa kupata baadhi ya vitu alivyowaibia Wanaume hao simu, viatu na fedha taslimu.