Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Kuwa na adabu au ndowewe niniatakuwa amekulalia mkeo sio kwa moto huo
TIGHA BHATEMWE!Huyu jamaa serikali ingilieni Kati yupo magomeni mapipa mtaa wa dosi. Huyu dogo kila siku anapenzika na wanafunzi tena mpaka mwenyekiti wa serikali ya mtaa anajua, kila siku anabadilisha wanawake watoto wa kike wengi ni wanafunzi wanapishana mlangoni. Bado kesi za kuwala wake za watu kila wakati haachi anapewa onyo hataki kusikia.
Nywele zake huwa anaweka brichi ni mwembamba mweupe ana viheleni masikioni mwembamba. Please polisi fatilieni hili huyu dogo anafumua sana wanafunzi wa sekondari shule za jirani kama makurumla na tuliani. Hana kazi yoyote yeye nikuwalala tu wanawake mshenzi huyu Umri wenyewe hakana hata miaka 22.
Ticha wewe huwaga unawapelekea moto madenti zako?Acha awapelekee moto.
Kwahiyo kula wanafunzi ni poa tu. Basi adhabu wangepewa wanafunzi wa kike ingekuwa hivyoSioni kama kuna mantiki hapo mkuu, kama anakula wake za watu kosa ni la wake za watu sio jamaa, kama anakula wanafunzi kosani la wanafunzi, ubaya ungekuwepo kama anawabaka hao wanawake basi.
Namzoom tuHivi punde tu one Man down to Segerea au Ukonga gerezani maana si mbali kiviile kwa kuwala Wanafunzi [emoji849]
Niogope shoga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana dogo mwenyewe ukimwona kama mwanamke. Afu sijui kwann wanawake wanapenda wanaume waajabuajabuUmeogopa hata kupost picha yake?
Basi kakuchapia demu [emoji23]
Here we dare to talk open!Niogope shoga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana dogo mwenyewe ukimwona kama mwanamke. Afu sijui kwann wanawake wanapenda wanaume waajabuajabu