MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Kila kitu serikali serikali... kweli mmeshindwa kumtia adabu kama anawasumbua!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti?Muueni
[emoji23][emoji23][emoji23]atakuwa amekulalia mkeo sio kwa moto huo
Mimi sijambo wewe je? App haileti notification siku hiziMzima mtu wa Mungu?
AseeeHuyu jamaa serikali ingilieni Kati yupo magomeni mapipa mtaa wa dosi. Huyu dogo kila siku anapenzika na wanafunzi tena mpaka mwenyekiti wa serikali ya mtaa anajua, kila siku anabadilisha wanawake watoto wa kike wengi ni wanafunzi wanapishana mlangoni. Bado kesi za kuwala wake za watu kila wakati haachi anapewa onyo hataki kusikia.
Nywele zake huwa anaweka brichi ni mwembamba mweupe ana viheleni masikioni mwembamba. Please polisi fatilieni hili huyu dogo anafumua sana wanafunzi wa sekondari shule za jirani kama makurumla na tuliani. Hana kazi yoyote yeye nikuwalala tu wanawake mshenzi huyu Umri wenyewe hakana hata miaka 22.
Hahahaatakuwa amekulalia mkeo sio kwa moto huo
HahahaNiogope shoga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana dogo mwenyewe ukimwona kama mwanamke. Afu sijui kwann wanawake wanapenda wanaume waajabuajabu
HahahaShida ya madomozege ni wivu tu umewajaa..pole sana.
Uzuri ni kwamba hawalazimishi ni wao na nyege zao wanenda kuliwa.
#MaendeleoHayanaChama