Alex kitenge vs meddie kagere

Itovanilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2018
Posts
2,314
Reaction score
5,150
KITENGE Naam jina ambalo kuanzia siku ya Jana,hadi Leo linaendelea kushika kasi kwenye viunga vya jiji hili na Tanzania nzima,
Kijana ana uwezo ana mbinu yaani ana vitu flani hivi,hasa goli lake la kwanza.angekuwa yule Mzee wa kihutu nadhani tusingekunywa maji
 
Mkuu acha kufananisha Kagere na vitu vya kipuuzi
 
Mkuu acha kufananisha Kagere na vitu vya kipuuzi
Subiri ukikutana naye ndiyo utajua nani mpuuzi kati ya Kitenge na Hugo mziba macho wenu. Kumbuka timu hii ilikutoa jasho taifa msimu uliyopita.
 
Subiri ukikutana naye ndiyo utajua nani mpuuzi kati ya Kitenge na Hugo mziba macho wenu. Kumbuka timu hii ilikutoa jasho taifa msimu uliyopita.
Sasa Mkuu, Kitenge kumfunga yule dansa toka nchini Kongo.. Ndo kashakua hatari? Kwa kifupi defense nzima imeoza, kwann sasa asiwatese? Alafu kwann mnamlinganisha na MK14.. Makombo vipi kahama ligi?
 
Naona MK 14 iligeuka MK 0 Jmosi Kyle Ntwara.
Sasa Mkuu, Kitenge kumfunga yule dansa toka nchini Kongo.. Ndo kashakua hatari? Kwa kifupi defense nzima imeoza, kwann sasa asiwatese? Alafu kwann mnamlinganisha na MK14.. Makombo vipi kahama ligi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…