Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Nikweli kabisaAl ahly wanahofu Simba inatisha sana,wanaijua kwani awaijui!
Tatu naye yupo kato yao?Nikweli kabisaView attachment 2786821
Umemsahau TatuHiyo mechi angepewa Salim Arajiga aichezeshe
Ni kawaida labda kama wewe umenunuliwa smartphone juzi na shemeji yako.Nikweli kabisaView attachment 2786821
Mapipa ni sehemu ya mind games & psychological warfare!! We won't buy into it!!! We are more smart than them!!Ni ufinyu wa akili zake huyo mtangazaji, Madrid hawabebi kutokana na uwepo wa vifaa vya michezo takriban 90% mwa nchi za ulaya yaani wakitoka Spain kwenda Italy bado watapata vifaa vya michezo mbalimbali.
Ila Al Ahly ni timu kubwa sana Africa kiuchumi, kimiundombinu hadi uongozi. Wamebeba hayo mapipa wanajua program zao mazoezi wanahitaji nn. Huwezi kuta benchi la ufundi la Al ahly limeundwa na watu 6 au 7 kama hizi timu zetu hapa, ukubwa wao tu la benchi la ufundi unatoa picha wale watu wapo serious na mpira kwa kiasi gani
Baada ya Al Ahly kutua airport huku wakionekana wamebeba mapipa makubwa kuelekea mchezo wa dhidi ya Simba, mwandishi mkongwe wa michezo kutoka Clouds Fm, Alex Luambano apigwa na butwaa.
Sijawahi kuwaona Real Madrid wakiwa wamebeba mapipa, sasa hii Al Ahly ambayo ni miongoni mwa timu kubwa Afrika inabebaje mapipa? Waache mikwara.
My take:
Mapipa wamebeba maji na chakula chao, sasa kesho wakipigwa sijui watasingizia hujuma gani?
Chakula kinabebwa kwenye mapipa? Rage aliona mbaliMapipa Yana
1. Chakula.
2. Maji.
3. Madawa.
4. USHIRIKINA.
5. First Aid nk
Unga.
Michele
Nyama.
Nyanya.
Kachumbali
Pilipili na
Kitimoto