Alex Luambano: Sijawahi kuwaona Real Madrid wamebeba mapipa, Al Ahly wapunguze mikwara

Alex Luambano: Sijawahi kuwaona Real Madrid wamebeba mapipa, Al Ahly wapunguze mikwara

Hii wiki imekuwa Wiki mbaya Sana na Ya Mateso kwa Utopolo.....!

Dua Lao lililobaki ni Simba ifungwe tu......!

Msijari.....Mwakani Zitashiriki timu 24,na nyie Utopolo mtakuwepo...!

Hapo vipi..? Haya tuombeeni mema Hapo Kesho....!

Ila mkumbuke Kununua Mabeki Warefu warefu......hii michuano Zalani na ASAS Djibouti hawatakuwepo..!

Sasa Kibabage,Kibwana,Job na Yao Asante Kwasi ule ufupi Wao mtakuwa mnafungwa tu....! Sisi ni ndg ni vema tustuane Mapema.

Mo Dewji tunamshukuru akili nyingi na uzoefu mwingi....! Kila Changamoto za Nyuma huwa anazifanyia Kazi....! Zile Beki zenu zitawakosti.....!
Mpira sio mashindano ya urembo, Inonga na urefu wake alikalishwa na Job last season
 
Back
Top Bottom