Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,619
duuuh aisee kweli bongo kuna madili
Hii Kesi yao ndogo sana kwa hayA Watu wawili....
Nna Kisa Kimoja cha Bwana Musoffe,
Mnakumbuka Miaka ya Nyuma like 2yrs ivi kipindi kile cha Albino Killings..na Bwana Msoffe alishawah ku-kick kwa news kwamba AlikAmatwa na zeruzeru nyumbani kwake..
Sasa baada ya Njaa kuzidi vijana wakAamua kumtikisa Boss,..wakatafuta Zeruzeru wakamlipa wakamwelekeza cha Kusema na Chakufanya..
WAkamfunga Kamba,Plasta Wakamrusha ndani ya Fensi ya Msoffe..Zeru zeru akajificha ..Baadae WAkaja Police na Search Warranty kabisaaaa...tafuta nyumba nzima wakamuibua Zeru...toa Plasta Zeru analia Anasema walikuwa wawili mwezake kachukuliwa kabaki yeye...
Huku na Huku Msoffe hatAk kutoa hela ya Maana anapiga watu wake wa serikali wanaombeba ..kila mtu akawa Anaogopa kuitia makono..
Ikabidi akubali kulipa zaidi ya Million Hamsini kumaliza ishu..watu wakavuta Hela yao Zeruzeru kalipwa chake ..Kwisha
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums