Alex Massawe: Umaarufu wake unatokana na nini?

Alex Massawe: Umaarufu wake unatokana na nini?

He is the Director of Organised Crimes of Tanzania (DOCT).....With a host of deputies

massawe+(1).jpg

huyu mzee angesoma angalau angekuwa na degree basi angekuwa tapeli wa kimataifa
 
Bado sheria zetu sio nzuri za kuweza kumkuta mtu hasa wa mauwaji kuwa na hatia na akafungwa maana kesi ya mauji sio lelemama inahitaji ushahidi wa mojakwamoja au wakimazingira yaani wakati marehemu anauwawa hawa watuhumiwa wakithibitisha kuwa walikuwa sehemu tofauti na eneo la mauwaji ni vigumu sana kuwatia hatiani

shitaka ingekuwa kula njamana kuua lazima wangekutwa na hatia na kufungwa

umenena vyema
 
Wampeleke segerea tu watu wakale KABAAAAANG

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hata mke wake wa kwanza alimpiga risasi akafa na ikaisha kimya kimya
HEEEeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!! jamaa ni katili kuliko maelezo, Sasa atakutana na pilato, naiomba serikali ipeleke ushahidi unaojitosheleza na mawakili wale ambao ni nguli, hata ikibidi wamkodi Lissu apambane na mawakili wa huyu jaaammaaa maaaana najua atakuwa amejipanga na mawakili wake kupangua hii kesi inayomkabili, vinginevyo serikali itashangazwa kama ilivyoshangazwa juzi na Na KESI YA SUGU KULE DODOMA:help:
 
Nifahamisheni huyu jamaa ana umaarufu gani hasa? Nimekuwa nikisikia akitajwa sana na vyombo vya habari kuwa amekamatwa, nijuzeni

Una umri gani? Au una miaka mingapi?
 
Wampeleke segerea tu watu wakale KABAAAAANG

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Akawale ama akaliwe! Mkuu hawa kuwa wanaishi mle kama vile wako home! Tatizo wewe! Umesahau Yule jamaa wa Benki kuu alikuwa anampigia jombaaa wa magogoni wanabonga kiaina!
 
mkuu usiseme haijathibitishwa manake haya manen ya polis ndiyo ambayo humpamba mkosaji wakati ni gulit. kama hakuua kwann alikuwa natumia pass 3 tofauti?? finger prints zinaonyesha anaitwa alex massawe huku pass zikiwa na majina tofauti na moja ikiwa na jina la alex. akiulizwa anakataa nasema yeye haitwi alex.

wakati kesha muua mume wa mtu mkewe naye wanamnyanyasa kumtoa kwenye nyumba. huyu bwana ni professional criminal yaani nataman hata ingekuwepo sheria ya kunyongwa anyongwe tu lkn utaskia kafungwa miaka 7..
kama jastin nyari walimtoa nakumpa uongozi kwanini wasimtoe alex, chezeya ccm weye
 
Muuza unga mkubwa, tapeli, jambazi, na muuaji. Eti kumbe na yeye anaogopa kifo ndiyo maana alikimbilia Afrika Kusini kuogopa kunyongwa. Wapuuzi wengine bwana, leteni mburula huyu anyofolewe pumbu na ahasiwe ili akashughulikiwe jela kabla ya kuchinjwa hadharani.

heeee wewe una uzima kweli?
 
HEEEeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!! jamaa ni katili kuliko maelezo, Sasa atakutana na pilato, naiomba serikali ipeleke ushahidi unaojitosheleza na mawakili wale ambao ni nguli, hata ikibidi wamkodi Lissu apambane na mawakili wa huyu jaaammaaa maaaana najua atakuwa amejipanga na mawakili wake kupangua hii kesi inayomkabili, vinginevyo serikali itashangazwa kama ilivyoshangazwa juzi na Na KESI YA SUGU KULE DODOMA:help:

Mkuu nisome hapo juu. Alex, kesi yake aidha ''atashinda'' au ataenda ''mvua chache''. Na hiyo ni kutokana na support ya serikali yenyewe. Kwa hiyo serikali haijipangi kushinda bali kushindwa
 
Huyu jamaaa atatoka tu hii ni danganyika nchi nzuri sana hanyongwi mtu hata cku moja.
 
heeee wewe una uzima kweli?

Jiweke kwenye nafasi ya mke wa yule jamaa aliyeuliwa na huyu mburulaa, utakuwa na huruma kweli na huyu? Msumeno kwa msumeno, unafikiri kwanini alikimbia si anaogopa kifo, ila anapenda kuua.
 
Back
Top Bottom