He is the Director of Organised Crimes of Tanzania (DOCT).....With a host of deputies
Bado sheria zetu sio nzuri za kuweza kumkuta mtu hasa wa mauwaji kuwa na hatia na akafungwa maana kesi ya mauji sio lelemama inahitaji ushahidi wa mojakwamoja au wakimazingira yaani wakati marehemu anauwawa hawa watuhumiwa wakithibitisha kuwa walikuwa sehemu tofauti na eneo la mauwaji ni vigumu sana kuwatia hatiani
shitaka ingekuwa kula njamana kuua lazima wangekutwa na hatia na kufungwa
HEEEeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!! jamaa ni katili kuliko maelezo, Sasa atakutana na pilato, naiomba serikali ipeleke ushahidi unaojitosheleza na mawakili wale ambao ni nguli, hata ikibidi wamkodi Lissu apambane na mawakili wa huyu jaaammaaa maaaana najua atakuwa amejipanga na mawakili wake kupangua hii kesi inayomkabili, vinginevyo serikali itashangazwa kama ilivyoshangazwa juzi na Na KESI YA SUGU KULE DODOMA:help:Hata mke wake wa kwanza alimpiga risasi akafa na ikaisha kimya kimya
unashangaa hilo kwa tz?
FYI iyo 7 nimeweka mini sana waweza kuskia kapewa 3
Nifahamisheni huyu jamaa ana umaarufu gani hasa? Nimekuwa nikisikia akitajwa sana na vyombo vya habari kuwa amekamatwa, nijuzeni
Nifahamisheni huyu jamaa ana umaarufu gani hasa? Nimekuwa nikisikia akitajwa sana na vyombo vya habari kuwa amekamatwa, nijuzeni
Kaa mbali na AM ni balaaa huyooo
Wampeleke segerea tu watu wakale KABAAAAANG
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
kama jastin nyari walimtoa nakumpa uongozi kwanini wasimtoe alex, chezeya ccm weyemkuu usiseme haijathibitishwa manake haya manen ya polis ndiyo ambayo humpamba mkosaji wakati ni gulit. kama hakuua kwann alikuwa natumia pass 3 tofauti?? finger prints zinaonyesha anaitwa alex massawe huku pass zikiwa na majina tofauti na moja ikiwa na jina la alex. akiulizwa anakataa nasema yeye haitwi alex.
wakati kesha muua mume wa mtu mkewe naye wanamnyanyasa kumtoa kwenye nyumba. huyu bwana ni professional criminal yaani nataman hata ingekuwepo sheria ya kunyongwa anyongwe tu lkn utaskia kafungwa miaka 7..
Muuza unga mkubwa, tapeli, jambazi, na muuaji. Eti kumbe na yeye anaogopa kifo ndiyo maana alikimbilia Afrika Kusini kuogopa kunyongwa. Wapuuzi wengine bwana, leteni mburula huyu anyofolewe pumbu na ahasiwe ili akashughulikiwe jela kabla ya kuchinjwa hadharani.
HEEEeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!! jamaa ni katili kuliko maelezo, Sasa atakutana na pilato, naiomba serikali ipeleke ushahidi unaojitosheleza na mawakili wale ambao ni nguli, hata ikibidi wamkodi Lissu apambane na mawakili wa huyu jaaammaaa maaaana najua atakuwa amejipanga na mawakili wake kupangua hii kesi inayomkabili, vinginevyo serikali itashangazwa kama ilivyoshangazwa juzi na Na KESI YA SUGU KULE DODOMA:help:
Mfadhili wa lema
heeee wewe una uzima kweli?