Pre GE2025 Alex Msama atangaza Tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu, litafanyika Aprili 20, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Kuombea uchaguzi mkuu 2025, Alex Msama leo ameongea na wandishi wa habari kuwa Maandalizi ya Tamasha la kuombea uchaguzi yanaendelea vizuri na kuwa Tamasha hilo lipo na litafanyika Tarehe 20, Aprili 2025 katika jiji la Dar es Salaam na baadae kufanyika Mikoa 26 ya Tanzania.
1742038143792.png
Ameyasema hayo leo alipongea na waandishi wa Habari kuhusiana na maandalizi ya Tamasha hilo. “Maandalizi ya tamasha yanaendelea vizuri na tunakaribisha wadhamini kuja kusaidia kufanikisha Tamasha hili kubwa ambalo litafanyika Mikoa yote ya nchi yetu ya Tanzania tukianzia na Mkoa wa Dar es Salaam.

Ndugu Alex Msama Mwenyekiti wa Kamati ya Mandalizi ya tamasha hilo amesema kwasasa jambo kubwa linalofanyika ni kuendelea kuzungumza na wafadhili na tukifanikiwa tu kupata wadhamini basi tamasha litakuwa halina kingilio litakuwa bule.

Tamasha la Kuombea uchaguzi litafanyika hivi karibuni na kuwaunganisha waimbaji mbali mbali wa nyimbo za injili Ndani na Nje ya Tanzania.
 
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Kuombea uchaguzi mkuu 2025 ndugu Alex Msama leo ameongea na wandishi wa habari kuwa Maandalizi ya Tamasha la kuombea uchaguzi yanaendelea vizuri na kuwa Tamasha hilo lipo na litafanyika Tarehe 20, Aprili 2025 katika jiji la Dar es Salaam na baadae kufanyika Mikoa 26 ya Tanzania.
images - 2025-03-15T142552.577.jpeg

Kaisharudi tena mjini, safari hii yuko na kina nani? Akina rose muhando wamechuja na wamepitwa na wakati, kina bella kombo, semfuko na obi ndio wanabamba kwa sasa
 
Ni mwendo wa maombezi na matamasha tu.

Na mimi nitatangaza tamasha langu la kuombea Samia aghairishe kuogombea uraisi.
 
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Kuombea uchaguzi mkuu 2025, Alex Msama leo ameongea na wandishi wa habari kuwa Maandalizi ya Tamasha la kuombea uchaguzi yanaendelea vizuri na kuwa Tamasha hilo lipo na litafanyika Tarehe 20, Aprili 2025 katika jiji la Dar es Salaam na baadae kufanyika Mikoa 26 ya Tanzania.
Ameyasema hayo leo alipongea na waandishi wa Habari kuhusiana na maandalizi ya Tamasha hilo. “Maandalizi ya tamasha yanaendelea vizuri na tunakaribisha wadhamini kuja kusaidia kufanikisha Tamasha hili kubwa ambalo litafanyika Mikoa yote ya nchi yetu ya Tanzania tukianzia na Mkoa wa Dar es Salaam.

Ndugu Alex Msama Mwenyekiti wa Kamati ya Mandalizi ya tamasha hilo amesema kwasasa jambo kubwa linalofanyika ni kuendelea kuzungumza na wafadhili na tukifanikiwa tu kupata wadhamini basi tamasha litakuwa halina kingilio litakuwa bule.

Tamasha la Kuombea uchaguzi litafanyika hivi karibuni na kuwaunganisha waimbaji mbali mbali wa nyimbo za injili Ndani na Nje ya Tanzania.
Tapeli mwandamizi wa viwanja
 
Aisee huyu mpiga dili na tapeli wa viwanja bado yupo around!? Tamasha la Pasaka limemshinda anatafuta pa kutokea sasa! Ngoja tuone.
 
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Kuombea uchaguzi mkuu 2025 ndugu Alex Msama leo ameongea na wandishi wa habari kuwa Maandalizi ya Tamasha la kuombea uchaguzi yanaendelea vizuri na kuwa Tamasha hilo lipo na litafanyika Tarehe 20, Aprili 2025 katika jiji la Dar es Salaam na baadae kufanyika Mikoa 26 ya Tanzania.
View attachment 3271269

Ameyasema hayo leo alipongea na waandishi wa Habari kuhusiana na maandalizi ya Tamasha hilo. “Maandalizi ya tamasha yanaendelea vizuri na tunakaribisha wadhamini kuja kusaidia kufanikisha Tamasha hili kubwa ambalo litafanyika Mikoa yote ya nchi yetu ya Tanzania tukianzia na Mkoa wa Dar es Salaam.

Ndugu Alex Msama Mwenyekiti wa Kamati ya Mandalizi ya tamasha hilo amesema kwasasa jambo kubwa linalofanyika ni kuendelea kuzungumza na wafadhili na tukifanikiwa tu kupata wadhamini basi tamasha litakuwa halina kingilio litakuwa bule.
View attachment 3271269

Tamasha la Kuombea uchaguzi litafanyika hivi karibuni na kuwaunganisha waimbaji mbali mbali wa nyimbo za injili Ndani na Nje ya Tanzania.
Hiyu Mungu tunamchezea....sana huyu amegeuka chawa upande wa pili tapeli mkubwa sanaaa.....na mbishi..kazi sana leo anmchezea Mungu.....utashangaaa nyomi machawa na mama yupoo khaà
 
Sema jamaa ana kashfa sana!

Alafu hata aibu hana!

Naona ameibuka tena kwa kishindo!
 
Yaani Aibu Naona Mimi kutokana na vitendo vya Girba+ Dhulumati Anavyofanya Alex
 
Back
Top Bottom