Alex Ngereza: Al ahly watapasuliwa za kutosha na Yanga Kwa mkapa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Haya ni maoni ya mchambuzi maarufu kwenye kituo flani Cha redio

"Hawa Al Ahly[emoji1093]siku wakikutana Yanga SC[emoji1241]pale kwa makapa watapasuliwa za kutosha kwa sababu kuna muda wanajisahau kuziba nafasi hasa ukiwashambulia kwa kasi

Na ni moja ya siraha ya Yanga ni kasi wanashambulia kwa speed sana kiasi kwamba ukiwaachia tu nafasi kidogo lazima wakufunge"

[emoji2399]Alex Ngereza
1697899613794.jpg
 
Haya ni maoni ya mchambuzi maarufu kwenye kituo flani Cha redio

"Hawa Al Ahly[emoji1093]siku wakikutana Yanga SC[emoji1241]pale kwa makapa watapasuliwa za kutosha kwa sababu kuna muda wanajisahau kuziba nafasi hasa ukiwashambulia kwa kasi

Na ni moja ya siraha ya Yanga ni kasi wanashambulia kwa speed sana kiasi kwamba ukiwaachia tu nafasi kidogo lazima wakufunge"

[emoji2399]Alex NgerezaView attachment 2788345
Al Ahly....watajuta kukutana na Yanga .....Bingwa.....watajuta
 
Kwani saiz Yanga yupo wap
😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂
Miaka 25 kupita, hatimaye Yanga anacheza Club bingwa.
Sizungumzii kipindi hiki, msimu uliopita. Acha kuhamisha channel. Ilikuwaje mkashindwa kucheza club bingwa?
Ngao ya hisani chali. Oh ni mwendo wa 5G, wenye nafasi zao wamefika. Mara Ihefu hii hapa chali.
Al Alhly wakicheza na Yanga ni kichapo. Mnacheza mpira wa mdomoni.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miaka 25 kupita, hatimaye Yanga anacheza Club bingwa.
Sizungumzii kipindi hiki, msimu uliopita. Acha kuhamisha channel. Ilikuwaje mkashindwa kucheza club bingwa?
Ngao ya hisani chali. Oh ni mwendo wa 5G, wenye nafasi zao wamefika. Mara Ihefu hii hapa chali.
Al Alhly wakicheza na Yanga ni kichapo. Mnacheza mpira wa mdomoni.
Ile ilikuwa njia mkuu
 
Haya ni maoni ya mchambuzi maarufu kwenye kituo flani Cha redio

"Hawa Al Ahly[emoji1093]siku wakikutana Yanga SC[emoji1241]pale kwa makapa watapasuliwa za kutosha kwa sababu kuna muda wanajisahau kuziba nafasi hasa ukiwashambulia kwa kasi

Na ni moja ya siraha ya Yanga ni kasi wanashambulia kwa speed sana kiasi kwamba ukiwaachia tu nafasi kidogo lazima wakufunge"

[emoji2399]Alex NgerezaView attachment 2788345
kiukweli watafungwa.
 
Alex Ngereza ni mmoja wa vilaza katika tasnia hii ya uchambuzi,mleta uzi amefurahishwa na huyo kanjanja kwa vile ameandika kitu anachotaka kusikia. Utopolo mnajiokotea tu matakataka kutujazia server.
 
Back
Top Bottom