Al Ahly....watajuta kukutana na Yanga .....Bingwa.....watajutaHaya ni maoni ya mchambuzi maarufu kwenye kituo flani Cha redio
"Hawa Al Ahly[emoji1093]siku wakikutana Yanga SC[emoji1241]pale kwa makapa watapasuliwa za kutosha kwa sababu kuna muda wanajisahau kuziba nafasi hasa ukiwashambulia kwa kasi
Na ni moja ya siraha ya Yanga ni kasi wanashambulia kwa speed sana kiasi kwamba ukiwaachia tu nafasi kidogo lazima wakufunge"
[emoji2399]Alex NgerezaView attachment 2788345
Sawa.Yaaah hata USM Alger aliyemtwanga Al ahly super cup .....alikandwa na yanga
ππππππππππKwani saiz Yanga yupo wap
Ile ilikuwa njia mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miaka 25 kupita, hatimaye Yanga anacheza Club bingwa.
Sizungumzii kipindi hiki, msimu uliopita. Acha kuhamisha channel. Ilikuwaje mkashindwa kucheza club bingwa?
Ngao ya hisani chali. Oh ni mwendo wa 5G, wenye nafasi zao wamefika. Mara Ihefu hii hapa chali.
Al Alhly wakicheza na Yanga ni kichapo. Mnacheza mpira wa mdomoni.
kiukweli watafungwa.Haya ni maoni ya mchambuzi maarufu kwenye kituo flani Cha redio
"Hawa Al Ahly[emoji1093]siku wakikutana Yanga SC[emoji1241]pale kwa makapa watapasuliwa za kutosha kwa sababu kuna muda wanajisahau kuziba nafasi hasa ukiwashambulia kwa kasi
Na ni moja ya siraha ya Yanga ni kasi wanashambulia kwa speed sana kiasi kwamba ukiwaachia tu nafasi kidogo lazima wakufunge"
[emoji2399]Alex NgerezaView attachment 2788345
Kwa penati ya kuonewa hurumaYaaah hata USM Alger aliyemtwanga Al ahly super cup .....alikandwa na yanga
Anatafuta Airtime, Mileage Angalau Ajulikane YupoMimi Yanga ila huyu mchambuzi dish litakuwa limeyumba