Alex Ngereza: Al ahly watapasuliwa za kutosha na Yanga Kwa mkapa

Alex Ngereza ni mmoja wa vilaza katika tasnia hii ya uchambuzi,mleta uzi amefurahishwa na huyo kanjanja kwa vile ameandika kitu anachotaka kusikia. Utopolo mnajiokotea tu matakataka kutujazia server.
Huyu ni professional
 
We ndo unaujua mpira au kushiba kwako ugali na dagaa kuja kuweka threads ndo kuna kudanganya unajua ?
Yani wewe na akili zako game plan ya Al ahly na simba ndo atacheza hivo na Yanga?
Mabonge hawajawahi kua na akili mkuu....

Fanya mazoezi ya kutosha
 
Muda utafika tuwe na subra tu .Ila Mambo ya kubadili maneno hatutapenda kuyasikia.

Yaan umpasue kizembe bingwa wa Africa nzima!!.
Ngoja tusubir .
 
Muda utafika tuwe na subra tu .Ila Mambo ya kubadili maneno hatutapenda kuyasikia.

Yaan umpasue kizembe bingwa wa Africa nzima!!.
Ngoja tusubir .
Yanga wanacheza mpira wa speed kama mamelods...... that's y mamelods alimpasua za kutosha Al ahly
 

Huyu mchambuzi ana maono sana na me nliwaza hvyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…