Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ndo unaujua mpira au kushiba kwako ugali na dagaa kuja kuweka threads ndo kuna kudanganya unajua ?Tatizo huujui mpira .. mchambuzi yupo sahihi..... Al ahly anachapika Kwa counter attacks.....pira speed
Mabonge hawajawahi kua na akili mkuu....We ndo unaujua mpira au kushiba kwako ugali na dagaa kuja kuweka threads ndo kuna kudanganya unajua ?
Yani wewe na akili zako game plan ya Al ahly na simba ndo atacheza hivo na Yanga?
Betri langu la simu linakaa na chaji mda mrefu kuliko seli zako za kwenye ubongoMabonge hawajawahi kua na akili mkuu....
Fanya mazoezi ya kutosha
Al Ahly....watajuta kukutana na Yanga .....Bingwa.....watajuta
Yanga wanacheza mpira wa speed kama mamelods...... that's y mamelods alimpasua za kutosha Al ahlyMuda utafika tuwe na subra tu .Ila Mambo ya kubadili maneno hatutapenda kuyasikia.
Yaan umpasue kizembe bingwa wa Africa nzima!!.
Ngoja tusubir .
Yaaah hata USM Alger aliyemtwanga Al ahly super cup .....alikandwa na yanga
Yanga wanacheza mpira wa speed kama mamelods...... that's y mamelods alimpasua za kutosha Al ahly
Kwa kupigwa nying
Haya ni maoni ya mchambuzi maarufu kwenye kituo flani Cha redio
"Hawa Al Ahly[emoji1093]siku wakikutana Yanga SC[emoji1241]pale kwa makapa watapasuliwa za kutosha kwa sababu kuna muda wanajisahau kuziba nafasi hasa ukiwashambulia kwa kasi
Na ni moja ya siraha ya Yanga ni kasi wanashambulia kwa speed sana kiasi kwamba ukiwaachia tu nafasi kidogo lazima wakufunge"
[emoji2399]Alex NgerezaView attachment 2788345