Kumbe hujaoa? Pole sana ndo maana unaandikaga pumba.. 😆 😆 😆Hata iweje....siwezi kuoa mwanamke anayeshabikia mpira .....hata kama tupo timu Moja[emoji23][emoji23]
Ntaoa mpenda dini[emoji23]Kumbe hujaoa? Pole sana ndo maana unaandikaga pumba.. [emoji38] [emoji38] [emoji38]
MM na mr tupo timu moja..mimi ndo ninaempa updates...na tunafurahia maisha yetu..
Usipooa mpenda mpira utaoa mpenda vigodoro...au mpenda kudanga...au mpenda pombe...ni ww cha muhimu omba upate mke mwema...
Tuseme aminaaaa...Ntaoa mpenda dini[emoji23]
Mchambuzi wa kituo kipi cha redio?Yeye ni mchambuzi so anawasaidia kufanya marekebisho
HahahahaHata iweje....siwezi kuoa mwanamke anayeshabikia mpira .....hata kama tupo timu Moja[emoji23][emoji23]