Alex Ngereza: Benchika hana utofauti na Robertinho

Alex Ngereza: Benchika hana utofauti na Robertinho

Huna akili bado unamfata na kumquote ZUZU[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata iweje....siwezi kuoa mwanamke anayeshabikia mpira .....hata kama tupo timu Moja[emoji23][emoji23]
Kumbe hujaoa? Pole sana ndo maana unaandikaga pumba.. 😆 😆 😆
MM na mr tupo timu moja..mimi ndo ninaempa updates...na tunafurahia maisha yetu..
Usipooa mpenda mpira utaoa mpenda vigodoro...au mpenda kudanga...au mpenda pombe...ni ww cha muhimu omba upate mke mwema...
 
Kumbe hujaoa? Pole sana ndo maana unaandikaga pumba.. [emoji38] [emoji38] [emoji38]
MM na mr tupo timu moja..mimi ndo ninaempa updates...na tunafurahia maisha yetu..
Usipooa mpenda mpira utaoa mpenda vigodoro...au mpenda kudanga...au mpenda pombe...ni ww cha muhimu omba upate mke mwema...
Ntaoa mpenda dini[emoji23]
 
Kaniki ni rangi yake usimlaumu dhobi. Timu wachezaji wamechoka kwani umri umewatupa mkono. Simba wanamaindi sana wachezaji wazee.
 
Kimbinu na Robertinho wanafanana,tofauti yake huyu ni mkali hapendi ujinga,Robertinho yy sio mkali.
Alikuwa mkali ...Kwa Chama mashabiki mkamuawashia moto

Et robertinho aingie kwenye mfumo wa kocha[emoji23][emoji23]
 
Hahahahahhahahahbaaaaaaaa.......

Hahahahhahahahhahaaaaaaaaaa....

Haaaaahaaaaaahaaaa.........!
 
aliuona mpiora waliocheza simba na wydad au kwa sababu yy ni kengeza
Sasa mbona hakuna consistency by the way wydad Casablanca nao wameanza kuwa wabovu
 
Back
Top Bottom