Alex Ngereza mchambuzi wa soka asiyekidhi vigezo. Analazimasha

Alex Ngereza mchambuzi wa soka asiyekidhi vigezo. Analazimasha

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
3,192
Reaction score
7,112
Huyu jamaa anapenda sana uchambuzi lakini ukimfuatilia utagundua hakujaaliwa kwa kazi hiyo ndio maana chambuzi zake zote ni ASSUMPTIONS and WISHFUL THINKING.

Unapopenda fani fulani ni vema kujitathimini kama unaendana na hiyo fani au laa. Ni kama jinsi Harmonize anavyopambana kucheza anapoimba live wakati yeye hakujaaliwa kipaji hicho zaidi ya kuimba vizuri.

Alex Ngereza angeendana sana na kazi ya ufundi wa welding.
 
Hata kwenye welding asingeweza huyo alitakiwa awe mfyatua tofali za matope na kuzichoma
 
Unapoweka mada kama hii tuwekee na kile unachoona kakosea kuthibitisha unachokisema. Binafsi simfahamu kabisa
 
Back
Top Bottom