Alex Ngereza: Simba SC wanafanya mambo kienyeji

Alex Ngereza: Simba SC wanafanya mambo kienyeji

Huyu mpuuzi Alex Ngereza hajui mpira kabisa yeye anachokifanya kuanzisha mada ya kuziponda Club za Simba na Yanga kila wakati lolote wanalolifanya lazima aponde nia yake ni kupata umaarufu kupitia timu hizi. Kumnukuu mpuuzi kama huyu na wewe unaoneka ni kanjanja kama yeye tu.
[emoji23][emoji23]
 
Kuna wengine sawa ni mapendekezo ya kocha lakini asimilia kubwa wanasajiliwa na kamati ya ufundi. Kocha ni mtu wa kupita, ana mkataba wa mwaka mmoja au miwili, inawezekana hawajui wachezaji wa nchi husika. Wachezaji wengine wanasajiliwa kibiashara zaidi.
Aaaah
 
Hasa huyu mleta uzi huu, ye huwa kila kukicha, ni nyuzi za kuiponda Simba tu! Hana tofauti na yale MATAGA ya BUKU SABA!
Ana tabia za kikekike Sana huyo ngereza Anapenda kujilizaliza Sana hasa kwenye masuala yanayoihusu simba. Hajawahi kuja na hoja ya Maana tofauti na kuiponda simba.
 
Basi mtapata taabu sana mkuu.....Yanga falsafa yao ni pira speed
Sasa kama ni pira spidi Mzee Chama Konokono ataweza kweli? Au kwakuwa wajinga ndio waliwao Mzee Chama Konokono kaja kujilia tu pensheni yake ya uzeeni kwa wajinga Kisha asepe zake ?
 
Akifukuzwa akaja kocha mwingine wale wachezaji aliowapendekeza yeye nao wafukuzwe kwakuwa kocha anaekuja yeye pia hakuwapendekeza?
Kocha mgeni anaweza kuwa shape wachezaji according to jinsi anavyotaka .......but kama imeshindikana basi atawapa thank you

Refer issue ya Chama na robertinho
 
Sasa kama ni pira spidi Mzee Chama Konokono ataweza kweli? Au kwakuwa wajinga ndio waliwao Mzee Chama Konokono kaja kujilia tu pensheni yake ya uzeeni kwa wajinga Kisha asepe zake ?
Ata adopt...mkuu
 
Back
Top Bottom