Ndiyo nani huyo Sheria Ngoyi?
Katoa ushauri..Kuna jipya dunia hii?Anajua hata maneno aliyotoa huyo "Gereza sijui Mgereza",ni maneno ambayo hajaanza kutoa yeye!?
Na kwa kueleza hivyo,ana ushahidi upi kwamba Azam ndiyo walioanza kuitengeneza aina hiyo ya jezi?Alikuwa kiwandani?
ANGALIZO:Siyo wa kwanza kuionesha jezi hadharani.Ni kuhusu wa kwanza kuibuni na kuitengeneza kiwandani.
SielewiJezi za Azam zimetoka lini na za Simba zimetoka lini?
Gap hapo ni siku ngapi?
Mengine siyo lazima ufungue kinywa kwa dizaini hiyo kwa kuwa Kuna wazo limepita karibu na ubongo!