Alex Raphael aliyejifanya ni afisa wa TAKUKURU ashikiliwa na vyombo vya dola kwa uchunguzi

Alex Raphael aliyejifanya ni afisa wa TAKUKURU ashikiliwa na vyombo vya dola kwa uchunguzi

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Alex Raphael aliyejifanya afisa wa TAKUKURU anashikiliwa na vyombo vya dola kwa uchunguzi zaidi kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria.

Uchunguzi huu unaendelea wakati huu ambao huko Shinyanga mwalimu mmoja anashikiliwa na vyombo vya dola kwa kujifanya afisa wa JWT
 
Alex ameliza wengi sana kila mtu alidhania ni afisa kweli maana anajua sana kuji position mno mno ukifika pale jinsi alivyo ukiwa hueleweki na huelewi uanzie wapi akikudaka umeisha wengi tulimjua kama ndio wale wale ......acha wachunguze
 
Alex Raphael aliyejifanya afisa wa TAKUKURU anashikiliwa na vyombo vya dola kwa uchunguzi zaidi kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria. Uchunguzi huu unaendelea wakati huu ambao huko shinyanga mwalimu mmoja anashikiliwa na vyombo vya dola kwa kujifanya afisa wa JWT
Watakuja na majibu
 
Back
Top Bottom