Alex Raphael aliyejifanya afisa wa TAKUKURU anashikiliwa na vyombo vya dola kwa uchunguzi zaidi kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria. Uchunguzi huu unaendelea wakati huu ambao huko shinyanga mwalimu mmoja anashikiliwa na vyombo vya dola kwa kujifanya afisa wa JWT