Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,026
- 2,266
Raisi wa Belarus anasema:
"Nilikuwa nikijaribu kumshawishi [Prigozhin] kwa muda mrefu. Mwishowe nilisema: 'Unajua, unaweza kufanya chochote unachotaka. Lakini usinichukie (kwa nitakacho kifanya ).
Kikosi kimetayarishwa kwa ajili ya kupelekwa Moscow tutaitetea Moscow kama tulivyoifanya mwaka 1941,unasoma vitabu wewe ni mtu mwenye elimu na akili kwa sababu hali hii inaathiri zaidi ya Urusi sio tu kwa sababu ni nchi baba yetu(Father land).
Bali kwa sababu mungu apishe mbali kama machafuko haya yangetokea yangeenea Urusi kote na sisi tungefuata."