Alexander Mnyeti matatani kwa kutoa kashfa za rushwa dhidi ya TFF

Alexander Mnyeti matatani kwa kutoa kashfa za rushwa dhidi ya TFF

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Hii ni kali.
20230118_101938.jpg
 
Jamaa ametawaliwa na hasira sana, mambo yake mengi anayapeleka kibabe sidhani kama anajipa muda wa kufikiria kwa makini, nasikia na timu yake ya Gwambina FC ameshaivunja na wachezaji amewaambia waende makwao.

Timu ambayo ameshaijengea uwanja, ina facilities za kutosha, anaharibu mipango yote kwa sababu ya hasira za waamuzi, hawa waamuzi wetu hata kama huzipendelea Simba na Yanga, lazima kwenda nao kwa akili, sio kukurupuka na kuharibu future za wachezaji wako.
 
TFF inavikumbusha vyombo cvya habari.... hii nchii hii....

Pamoja na chuki dhidi ya Mnyeti ila anayofanyiwa sio sawa hata kidogo...

Nchi haiendelei kwa upumbavu na ubinafsi wa watu wachache....

Hilo la rushwa sio la Leo wala jana OFF imekuwa ikilalamikiwa toka enzi za FAT.
 
TFF , what's the meaning of this holeshit Abrviation??
 
Wahuni hawajawahi kukosekana. Badala ya kuchunguza wao wanaagiza hatua zichukuliwe dhidi ya alietoa shutuma?!
 
Back
Top Bottom