Alexander Usyk vs Anthoy Joshua II

Alexander Usyk vs Anthoy Joshua II

AJ ni MANDONGA MTUPU
Tatizo lake hana ile killer instinct. Yaani yupo yupo tu...Mikanda mitatu on the line anapigana kizembe tu ...

Ndo maana Mike Tyson atabakia kuwa boksa aliyependwa sana na waelewa masumbwi ya heavyweight. Yaani ilikuwa akikiwasha amekiwasha utafikiri umemchapia demu wake. Hata wanaodai kuwa alikuwa overrated lakini style yake ya upiganaji ilikuwa moto sana...

Ona kama huyu mtoto wa Joe Frazier alivyojichanganya. Kidogo auliwe...Na hakupigana tena baada ya hii kasheshe!
97287183439%20-%20bambooski%20groundthunder%20iron%20mike_2.gif
 
Tatizo lake hana ile killer instinct. Yaani yupo yupo tu...

Ndo maana Mike Tyson atabakia kuwa boksa aliyependwa sana na welewa masumbwi. Yaani akikiwasha amekiwasha utafikiri umemchapia demu wake. Hata wanaodai kuwa alikuwa overrated lakini style yake ya upiganaji ilikuwa moto sana...
View attachment 2329946
Hakuwa overated, ila style yake iliwafanya maboxer wa kipindi iko waonekane wa kawaida, alikuwa ni anavagaa
 
Josh He needs to grow up, Ana Utoto mwingi sana
Hii sio kiki hata kidogo. Anaelekea kuwa kama Deontay Wilder sasa. Kimchezo Joshua ameshuka sana. Kabaki kuwa 'byuti byuti' tuuu
.
Mimi namfananisha na Gulio Katerero [emoji3]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kibaya zaidi Furry kastahafu, nilitaman sana Furry Vs Usky
 
Tatizo lake hana ile killer instinct. Yaani yupo yupo tu...Mikanda mitatu on the line anapigana kizembe tu ...

Ndo maana Mike Tyson atabakia kuwa boksa aliyependwa sana na waelewa masumbwi. Yaani akikiwasha amekiwasha utafikiri umemchapia demu wake. Hata wanaodai kuwa alikuwa overrated lakini style yake ya upiganaji ilikuwa moto sana...
View attachment 2329946
Mkuu Tyson wakati akiwa at his prime was the best
Ila usipo jali fwatilia mtu wa kazi James toney
Kwangu mie alikuwa beyond mike
Ni promotion tuu ilikuwa low
 
Mkuu Tyson wakati akiwa at his prime was the best
Ila usipo jali fwatilia mtu wa kazi James toney
Kwangu mie alikuwa beyond mike
Ni promotion tuu ilikuwa low
James "Lights Out" Toney anafananishwa na Floyd Mayweather kwa defense. Alikuwa mzuri sana lakini huwezi kumlinganisha na Tyson maana yeye alianzia huko Cruiserweight na Middleweight. Amekuja kuingia Heavyweight miaka imeshaenda. Angeanzia kwenye heavyweight angekuwa hatari sana...

Tyson bana ni ule upiganaji wake. Yaani anakupiga utafikiri kuna kitu umemuibia yaani...Na ile uppercut sasa mtu ilikuwa akijilengesha basi mchezo kwisha!
 

Attachments

  • tenor.gif
    tenor.gif
    829.8 KB · Views: 6
Back
Top Bottom