Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
- Thread starter
-
- #21
Taifa Stars tunahitaji maumbo kama Bocco, Samata, Mwantika wawe kama 8 hivi kwenye starting 11
Umemaliza Mkuu angalia umbo la Mane, Reloy/Leroy Sane, Dele Ali,
Unamjua Raheem Sterling, Xavi, Iniesta,Mess,?
Kama huwajui watafute kisha njoo tena
Ha ha haaa, Kichuya tutamuitaWatu wa Moro na Wengine kwa wapare huku msitusahau kwny taifa staaaaa hahah
ingekuwa mpira uko hivyo basi Iniesta, Xavi, na Messi wasingecheza mpira
Kwa mtu aliefuatilia mechi kati ya Algeria na Senegal, Algeria ni mapande ya Mtu jamani yameshiba kisawasawa ukimpush tegemea kudondoka tu ππ ,,inshort majamaa yana nguvu halafu marefu. Akina Sadio Mane na teamates wanaonekana kama akina Mudathir, Mwantika, Kessy, Ulimwengu πππ Aise tukikutananao tusikabe. Heri nusu shari kuliko shari kamili,,,tukubali kufungwa hata 20.
View attachment 1140847View attachment 1140848
ingekuwa mpira uko hivyo basi Iniesta, Xavi, na Messi wasingecheza mpira
kabisa... huyu jamaa sijui ana mwili wa namna gani hawa wa algeria anasema ni majitu? jamaa anaweza hata kubakwa kwa tabia hii aliyoonesha ya kubabaika sana. watu wa kawaida tu algeria. na kama miili ingekuwa ndo inacheza mpira sijui kama akina messi,maradona,pele na hao wengine wangekuwa wachezaji bora duniani. mpira ni akili,kasi na nguvu. so mtu yeyote mwenye hivi anaweza cheza mpira vizuri. sasa wewe unakuja na dhana hii ambayo inatupa mashaka sisi wengine. wanaweza kukubaka kwa tabia hiyo.
Riyad Mehrez anachezea Man City! ......Taifa Stars kushinda mechi hii ni sawa na ngamia kupita kwenye Tundu la Sindano na nafikiri Makonda atarudi na alichokifuata
View attachment 1141092
Pia kuna mtu anaitwa Sergio Busquets jamaa mwembamba balaa tena bora siku kanenepa kidoho lakn anacheza Defensive MidfielderUmemaliza Mkuu angalia umbo la Mane, Reloy/Leroy Sane, Dele Ali,
Unamjua Raheem Sterling, Xavi, Iniesta,Mess,?
Kama huwajui watafute kisha njoo tena
Cc MakondaKwa mtu aliefuatilia mechi kati ya Algeria na Senegal, Algeria ni mapande ya Mtu jamani yameshiba kisawasawa ukimpush tegemea kudondoka tu ππ ,,inshort majamaa yana nguvu halafu marefu. Akina Sadio Mane na teamates wanaonekana kama akina Mudathir, Mwantika, Kessy, Ulimwengu πππ Aise tukikutananao tusikabe. Heri nusu shari kuliko shari kamili,,,tukubali kufungwa hata 20.
View attachment 1140847View attachment 1140848
Kwa Kweli wachezaji wetu sa hv mavi yanagonga chupi yanarudi, aliyewadanganya kujipeleka huko.....Algeria wakitufunga goal chache basi lazma tuondoke na 6, hawa jamaa naskia wakiwa wanakimbia wakipita karibu na ww unaweza kuangushwa na ule upepo, wachezaji watu wamezoea kula wali na dangaa wa buku jero, ngoja wakakutane na vipisi vya watu huko
Miili mikubwa nayo mara nyingine ni genetics tu! Vichina vifupi kama nyundo huwa vinachezaje mpira!?
Umenikumbusha timu ya mpira ya Black Star toka Ghana ilipokuja miaka ya sitini, wakati wao wakipiga mpira toka golini unavuka msitari wa kati, sisi tukipiga unaishia nusu ya mstari wa kati! Walileta gumzo la jiji.Kwa mtu aliefuatilia mechi kati ya Algeria na Senegal, Algeria ni mapande ya Mtu jamani yameshiba kisawasawa ukimpush tegemea kudondoka tu ππ ,,inshort majamaa yana nguvu halafu marefu. Akina Sadio Mane na teamates wanaonekana kama akina Mudathir, Mwantika, Kessy, Ulimwengu πππ Aise tukikutananao tusikabe. Heri nusu shari kuliko shari kamili,,,tukubali kufungwa hata 20.
View attachment 1140847View attachment 1140848
Ufupi sio tatizo kwamchezaji,opponent wako akiwa mrefu we tambaza chini mpira.,akiwa namwili mkubwa,wewe punguza uzito na usigusane naye pia pigapasi nyingi kimbiza kama barca lazima aombe maji.nyama ya MTU sionguvu,mfupa ndompango mzima gym sana piga,tatzo wachexaji wamegoma kuifanya stars tawi lamzimuni ccmKwa mtu aliefuatilia mechi kati ya Algeria na Senegal, Algeria ni mapande ya Mtu jamani yameshiba kisawasawa ukimpush tegemea kudondoka tu [emoji3][emoji3] ,,inshort majamaa yana nguvu halafu marefu. Akina Sadio Mane na teamates wanaonekana kama akina Mudathir, Mwantika, Kessy, Ulimwengu [emoji23][emoji23][emoji23] Aise tukikutananao tusikabe. Heri nusu shari kuliko shari kamili,,,tukubali kufungwa hata 20.
View attachment 1140847View attachment 1140848