Algeria ni majitu jamani, Mapande ya Mtu na sio vijitu kama Timu yetu n.k

Algeria ni majitu jamani, Mapande ya Mtu na sio vijitu kama Timu yetu n.k

Umemaliza Mkuu angalia umbo la Mane, Reloy/Leroy Sane, Dele Ali,

Unamjua Raheem Sterling, Xavi, Iniesta,Mess,?
Kama huwajui watafute kisha njoo tena

Hatuangalii miili na nguvu tu, bali kisoka wako mbali sana.

Huko kwa kina Messi habari ingine, yani weka mbali na watoto 😀😀😀
 
Kwa mtu aliefuatilia mechi kati ya Algeria na Senegal, Algeria ni mapande ya Mtu jamani yameshiba kisawasawa ukimpush tegemea kudondoka tu 😀😀 ,,inshort majamaa yana nguvu halafu marefu. Akina Sadio Mane na teamates wanaonekana kama akina Mudathir, Mwantika, Kessy, Ulimwengu 😂😂😂 Aise tukikutananao tusikabe. Heri nusu shari kuliko shari kamili,,,tukubali kufungwa hata 20.

View attachment 1140847View attachment 1140848

Riyad Mehrez anachezea Man City! ......Taifa Stars kushinda mechi hii ni sawa na ngamia kupita kwenye Tundu la Sindano na nafikiri Makonda atarudi na alichokifuata

1141092
 
kabisa... huyu jamaa sijui ana mwili wa namna gani hawa wa algeria anasema ni majitu? jamaa anaweza hata kubakwa kwa tabia hii aliyoonesha ya kubabaika sana. watu wa kawaida tu algeria. na kama miili ingekuwa ndo inacheza mpira sijui kama akina messi,maradona,pele na hao wengine wangekuwa wachezaji bora duniani. mpira ni akili,kasi na nguvu. so mtu yeyote mwenye hivi anaweza cheza mpira vizuri. sasa wewe unakuja na dhana hii ambayo inatupa mashaka sisi wengine. wanaweza kukubaka kwa tabia hiyo.
ingekuwa mpira uko hivyo basi Iniesta, Xavi, na Messi wasingecheza mpira
 
kabisa... huyu jamaa sijui ana mwili wa namna gani hawa wa algeria anasema ni majitu? jamaa anaweza hata kubakwa kwa tabia hii aliyoonesha ya kubabaika sana. watu wa kawaida tu algeria. na kama miili ingekuwa ndo inacheza mpira sijui kama akina messi,maradona,pele na hao wengine wangekuwa wachezaji bora duniani. mpira ni akili,kasi na nguvu. so mtu yeyote mwenye hivi anaweza cheza mpira vizuri. sasa wewe unakuja na dhana hii ambayo inatupa mashaka sisi wengine. wanaweza kukubaka kwa tabia hiyo.

Mkuu badala ya kupanic nimeamua nicheke tu😂😂😂😂. Sio tu maumbo na nguvu, pia wanauwezo wa kukokota mpira. Unafkiri kina sadio mane, kessy na samata hao!! Mi nakuambia tarehe 1 watakula nyingi sana
 
Riyad Mehrez anachezea Man City! ......Taifa Stars kushinda mechi hii ni sawa na ngamia kupita kwenye Tundu la Sindano na nafikiri Makonda atarudi na alichokifuata

View attachment 1141092

Atarudi kwa aibu mkuu, ni heri makonda asalimu amri kabla haya madude yatudhalilishe. Jezi zenyewe za njano, nuksi tupu 😂😂
 
Tunacheza na Boko Haramu.Sisi wabongo vita zenyewe za kuarikwa na Sudan ya kusini.
Boko Haramu Nipigie Stars 30 Bila.
 
Umemaliza Mkuu angalia umbo la Mane, Reloy/Leroy Sane, Dele Ali,

Unamjua Raheem Sterling, Xavi, Iniesta,Mess,?
Kama huwajui watafute kisha njoo tena
Pia kuna mtu anaitwa Sergio Busquets jamaa mwembamba balaa tena bora siku kanenepa kidoho lakn anacheza Defensive Midfielder
 
Kwa mtu aliefuatilia mechi kati ya Algeria na Senegal, Algeria ni mapande ya Mtu jamani yameshiba kisawasawa ukimpush tegemea kudondoka tu 😀😀 ,,inshort majamaa yana nguvu halafu marefu. Akina Sadio Mane na teamates wanaonekana kama akina Mudathir, Mwantika, Kessy, Ulimwengu 😂😂😂 Aise tukikutananao tusikabe. Heri nusu shari kuliko shari kamili,,,tukubali kufungwa hata 20.

View attachment 1140847View attachment 1140848
Cc Makonda
 
Fabio canabarro alikuwa beki mfupi na umbo la kawaida lakini alishinda kombe la dunia , alikuwa anaruka juu kuliko John bocco na alikuwa anamaarifa na kasi sana . kwenye mpira umbo sio guarantee ya kushinda
 
Algeria wakitufunga goal chache basi lazma tuondoke na 6, hawa jamaa naskia wakiwa wanakimbia wakipita karibu na ww unaweza kuangushwa na ule upepo, wachezaji watu wamezoea kula wali na dangaa wa buku jero, ngoja wakakutane na vipisi vya watu huko
Kwa Kweli wachezaji wetu sa hv mavi yanagonga chupi yanarudi, aliyewadanganya kujipeleka huko.....
 
Algeria tuliwahi kuwakazia kwao tukadroo..Kocha wao akafukuzwa kazi. ..Watu hawaelewi mpira wa Africa tofauti sana na Ulaya ..huku physical battle ni kubwa sana. .ili timu iwe imara unatakiwa uwe na wachezaji Sita mpaka saba kwenye kikosi wana zaidi ya futi Sita urefu..
 
Kwa mtu aliefuatilia mechi kati ya Algeria na Senegal, Algeria ni mapande ya Mtu jamani yameshiba kisawasawa ukimpush tegemea kudondoka tu 😀😀 ,,inshort majamaa yana nguvu halafu marefu. Akina Sadio Mane na teamates wanaonekana kama akina Mudathir, Mwantika, Kessy, Ulimwengu 😂😂😂 Aise tukikutananao tusikabe. Heri nusu shari kuliko shari kamili,,,tukubali kufungwa hata 20.
View attachment 1140847View attachment 1140848
Umenikumbusha timu ya mpira ya Black Star toka Ghana ilipokuja miaka ya sitini, wakati wao wakipiga mpira toka golini unavuka msitari wa kati, sisi tukipiga unaishia nusu ya mstari wa kati! Walileta gumzo la jiji.
 
Kwa mtu aliefuatilia mechi kati ya Algeria na Senegal, Algeria ni mapande ya Mtu jamani yameshiba kisawasawa ukimpush tegemea kudondoka tu [emoji3][emoji3] ,,inshort majamaa yana nguvu halafu marefu. Akina Sadio Mane na teamates wanaonekana kama akina Mudathir, Mwantika, Kessy, Ulimwengu [emoji23][emoji23][emoji23] Aise tukikutananao tusikabe. Heri nusu shari kuliko shari kamili,,,tukubali kufungwa hata 20.

View attachment 1140847View attachment 1140848
Ufupi sio tatizo kwamchezaji,opponent wako akiwa mrefu we tambaza chini mpira.,akiwa namwili mkubwa,wewe punguza uzito na usigusane naye pia pigapasi nyingi kimbiza kama barca lazima aombe maji.nyama ya MTU sionguvu,mfupa ndompango mzima gym sana piga,tatzo wachexaji wamegoma kuifanya stars tawi lamzimuni ccm
 
ukiwa na umbo dogo inatakiwa uwe na kipaji, akili na nguvu za mwili, sasa wachezaji wetu wana maumbo madogo na akili ya mpira hawana hapo ndio shida inapotokea
 
DAB Kasema msiwe na hofu timu yake imejiandaa vyema na itaigalagaza hiyo Algeria.....
 
Back
Top Bottom