Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Kwa mtu aliefuatilia mechi kati ya Algeria na Senegal, Algeria ni mapande ya Mtu jamani yameshiba kisawasawa ukimpush tegemea kudondoka tu ๐๐ ,,inshort majamaa yana nguvu halafu marefu. Akina Sadio Mane na teamates wanaonekana kama akina Mudathir, Mwantika, Kessy, Ulimwengu ๐๐๐ Aise tukikutananao tusikabe. Heri nusu shari kuliko shari kamili,,,tukubali kufungwa hata 20.