Algeria ni majitu jamani, Mapande ya Mtu na sio vijitu kama Timu yetu n.k

Algeria ni majitu jamani, Mapande ya Mtu na sio vijitu kama Timu yetu n.k

Kama kuna mtu anafikiria CCM stars kuifunga Algeria basi huyo kavuka viwango vya uzalendo wa awamu ya 5.[emoji16]
 
Hivi hili la sisi waTZ kuwa na vijiumbo vidogovidogo hatuwezi lifanyia kazi? Ni lishe? Kukosa madini fulani? Kukosa vichocheo fulani mwilini? Au ndio turidhike kuwa Muumba ndicho alichotujaalia. Bila shaka linajadilika bila kukufuru.
Spain walichukua kombe la dunia wakiwa na wachezaji wenye miili midogo, miili sio tatizo ni kujipanga tu kiufundi
 
Kama mpira ni maumbo basi wangekuwa mabingwa wa dunia, ila kwenye world cup huwa wanapigwa kama wamesimama vile. Acha uoga mkuu.

Tatizo letu ni kutokujiamini. jana wakati tunatazama mechi nilikaa na jamaa ambaye kila mara alikuwa anasema tu tunafungwa tunafungwa. Kwakweli nilitamani nimzabe makofi lakini nilichojifunza ni kuwa watanzania tunatatizo la kutokujiamini.
Hili tatizo chanzo chake ni fimbo mashuleni tunahitaji suluhisho
 
Spain walichukua kombe la dunia wakiwa na wachezaji wenye miili midogo, miili sio tatizo ni kujipanga tu kiufundi

Algeria wamepewa vyote maumbo na pia wanacheza kiakili na sio kutumia nguvu kama akina senegal na cameroon. Hilo ulijuwe.
 
Algeria tuliwahi kuwakazia kwao tukadroo..Kocha wao akafukuzwa kazi. ..Watu hawaelewi mpira wa Africa tofauti sana na Ulaya ..huku physical battle ni kubwa sana. .ili timu iwe imara unatakiwa uwe na wachezaji Sita mpaka saba kwenye kikosi wana zaidi ya futi Sita urefu..

Kabsaa
 
Ufupi sio tatizo kwamchezaji,opponent wako akiwa mrefu we tambaza chini mpira.,akiwa namwili mkubwa,wewe punguza uzito na usigusane naye pia pigapasi nyingi kimbiza kama barca lazima aombe maji.nyama ya MTU sionguvu,mfupa ndompango mzima gym sana piga,tatzo wachexaji wamegoma kuifanya stars tawi lamzimuni ccm

Hoja sio ufupi tu mkuu. Wachezaji wa Argentina, Brazil, Chile n.k wengi wafupi lakini wanaupiga sio mchezo. Sasa huku kwetu wachezaji wafupi, hawana afya akili ya kucheza pia hawana. Algeria players ni mapande yana nguvu na marefu na pia yanaakili ya kucheza, sasa unategemea utayafunga!! Tusubiri tupigwe 10 tu hamna namna
 
Kama mpira ni maumbo basi wangekuwa mabingwa wa dunia, ila kwenye world cup huwa wanapigwa kama wamesimama vile. Acha uoga mkuu.

Tatizo letu ni kutokujiamini. jana wakati tunatazama mechi nilikaa na jamaa ambaye kila mara alikuwa anasema tu tunafungwa tunafungwa. Kwakweli nilitamani nimzabe makofi lakini nilichojifunza ni kuwa watanzania tunatatizo la kutokujiamini.
Na matokeo baadae yakawaje?
 
Algeria wakitufunga goal chache basi lazma tuondoke na 6, hawa jamaa naskia wakiwa wanakimbia wakipita karibu na ww unaweza kuangushwa na ule upepo, wachezaji watu wamezoea kula wali na dangaa wa buku jero, ngoja wakakutane na vipisi vya watu huko
Algeria ni watu

Sisi ni binadamu
 
Back
Top Bottom