Algeria, Nigeria, Niger waingia mkataba wa kuuza gesi bara Uropa, dah! pole kwa Mrusi

Algeria, Nigeria, Niger waingia mkataba wa kuuza gesi bara Uropa, dah! pole kwa Mrusi

Mpaka kufikia huko Germany atakuwa ameporomoka kiuchumi.Germany ndiyo lilkuwa Taifa lenye nguvu za Uchumi Ulaya kutokana na ushwahiba wake na Putin! Kitu ambacho US ilikuwa haitaki kukiona.
Kuna kapoint umenena hapo bwashee hako ka urafiki wa Russia na German ,nimekanote
 
Treni iliyobeba vifaa vya kijeshi vya China imepita katika reli ya mwendo kasi huko Hangzhou (Mkoa wa Zhejiang)-eneo la Kamandi ya Mashariki ya jeshi la China. Kwa sasa haijajulikana vinaenda wapi ila kwa mwelekeo ni Mkoa wa Fujian, ambao uko katika mwelekeo wa Taiwan. https://t.co/toaQSKd24a

Waarabu wa Bongo mnalo....
 
Jameni aliyemshauri Putin kuchokonoa nyuki sidhani kama atasamehewa......

To move away from relying on Russian energy, the European Union are increasingly turning to Africa for natural gas imports — and Algeria, Niger and Nigeria are looking to cash in.
Algeria, Niger and Nigeria signed a memorandum of understanding on Thursday to build a 4,000-kilometer (2,500-mile) Trans-Saharan Gas Pipeline.

Algeria's Energy Ministry said the natural gas pipeline would stretch across the Sahara desert.

It is estimated that, once the $13 billion (€12.75 billion) pipeline is complete, it will transport up to 30 billion cubic meters (1 trillion cubic feet) of gas annually from Nigeria, in West Africa, north through Niger and on to Algeria.

From there, it could be pumped through the undersea
Sisi tunasubiri msaada wa tende
 
Kimsingi Urusi ndio wanapoteza soko la maana hivi hivi.....kisa ubabe wa mtu mmoja.
Soko la maana wakati wanunuzi wapo wa kutosha.........tena hii itaamsha wengi kwamba kufanikiwa sio kua upande wa ulaya tu na mmarekani......kokote unatoboa
 
Kimsingi Urusi ndio wanapoteza soko la maana hivi hivi.....kisa ubabe wa mtu mmoja.
Ulitaka wafanyeje mkuu? Watulie tu kisa soko? Hii vita imeleta effect zaidi kwa Marekani na washirika wake. Imeonyesha kuwa Marekani sasa sio ile ya zamani ndio maana nchi kama India, Saudia, wanaipuuzia wanaendelea kufanya biashara tu na Mrusi.
Yani things will never be the same again.
 
Gesi wanaweza kuipata tu.......ishu je ni cheap gas??? Maana mshindani wao mkubwa hasa kiviwanda ni mchina na wenzake wa asia na hao ndo sasa hivi wanajipatia magesi na mafuta kwa bei ya kutupa bidhaa za hao wa ulaya zitaweza kuja kushindana na za mchina ambazo zitazalishwq kwa bei ya chini kabisa??? Hapa ni mchezo tu wa hesabu.......Hilo ndo game la master wa chess mzee baba Putin
Ayo umewaza wewe
 
Hela ipo ila je gharama ya uzalishaji itakua ni ya ushindani??? Ubepari unahitaji cheap resources ili utengeneze faida kubwa.......na cheap resources kwa sasa anazipata mchina na mwenzie muhindi.............vita ya kiuchumi anayoitaka mmarekani na mchina ataiweza kwa upepo huu???
Wataenda kufungua Viwanda China Kwasababu ya gharama ndogo kwani haiwezekan?

Huoni tesla anafungua kiwanda India

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Wataenda kufungua Viwanda China Kwasababu ya gharama ndogo kwani haiwezekan?

Huoni tesla anafungua kiwanda India

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Bado mfaidika atakua UCHINA ama INDIA hujiulizi why UCHUMI wa UCHINA upo hapo ulipo kwasasa
Nandio malengo maana kutakua namatajiri wengi ile usuper power wamtu mmoja utakua no moooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jameni aliyemshauri Putin kuchokonoa nyuki sidhani kama atasamehewa......

To move away from relying on Russian energy, the European Union are increasingly turning to Africa for natural gas imports — and Algeria, Niger and Nigeria are looking to cash in.
Algeria, Niger and Nigeria signed a memorandum of understanding on Thursday to build a 4,000-kilometer (2,500-mile) Trans-Saharan Gas Pipeline.

Algeria's Energy Ministry said the natural gas pipeline would stretch across the Sahara desert.

It is estimated that, once the $13 billion (€12.75 billion) pipeline is complete, it will transport up to 30 billion cubic meters (1 trillion cubic feet) of gas annually from Nigeria, in West Africa, north through Niger and on to Algeria.

From there, it could be pumped through the undersea
Acha mahaba gesi ya kusarisha kwa meli hata USA anayo lkn imeshindwa kukidhi mahitaji
 
Ulitaka wafanyeje mkuu? Watulie tu kisa soko? Hii vita imeleta effect zaidi kwa Marekani na washirika wake. Imeonyesha kuwa Marekani sasa sio ile ya zamani ndio maana nchi kama India, Saudia, wanaipuuzia wanaendelea kufanya biashara tu na Mrusi.
Yani things will never be the same again.

Marekani ya sasa ndio imeongezeka kuwa balaa zaidi ya hapo awali ambapo tulikua na balance of power, tuliishi tukijua kuna mbabe wa Marekani yaani Urusi, sasa kwa ujinga wa Putin kadhihirisha Urusi ilivyo dhaifu, duniani tumeachwa vibaya sasa hivi kwamba nchi moja tu ndio inababaisha kote.

Marekani baada ya kumdoofisha Urusi, sasa amehamia China, anataka kutumia Taiwan kuwafanyia Wachina alichofanya kwa Urusi, sijui kama Mchina ataingia mkenge kichwa kichwa au atakausha almradi asije kuingia aibu.
 
Hii changamoto ya gesi ni kwa hii miaka miwili tu ijayo, kufikia mwaka 2025 tayari Ulaya itakuwa imeshajitosheleza kwa gesi na shida itakuwa kwa Russia ambaye atakuwa amepoteza soko la uhakika.

Russia atabaki kuwauzia China na India kwa bei ya kutupa na ndipo nchi za magharibi wataziambia China na India wachague moja wa kufanya naye biashara kati yao au Russia lkn sio wote wawili.
 
Jameni aliyemshauri Putin kuchokonoa nyuki sidhani kama atasamehewa......

To move away from relying on Russian energy, the European Union are increasingly turning to Africa for natural gas imports — and Algeria, Niger and Nigeria are looking to cash in.
Algeria, Niger and Nigeria signed a memorandum of understanding on Thursday to build a 4,000-kilometer (2,500-mile) Trans-Saharan Gas Pipeline.

Algeria's Energy Ministry said the natural gas pipeline would stretch across the Sahara desert.

It is estimated that, once the $13 billion (€12.75 billion) pipeline is complete, it will transport up to 30 billion cubic meters (1 trillion cubic feet) of gas annually from Nigeria, in West Africa, north through Niger and on to Algeria.

From there, it could be pumped through the undersea

China, India na nchi za mashariki ya mbali zinatosha kununua gas yote ys Russia tena kwa bei poa.
 
Russia atabaki kuwauzia China na India kwa bei ya kutupwa na ndipo nchi za magharibi wataziambia China na India wachague moja wa kufanya naye biashara kati yao au Russia lkn sio wote wawili.

Acha kupiga ramli chonganishi.

Ulaya Kununua gas ya Nigeria nk na China +India kununua gesi ya Russia kwa bei poa maana yake China na India zitanufaika kiuchumi kushindana na Ulaya na Russia atakuwa na soko la uhakika, kumbuka India +china ni takriban watu 3 bilions.-- na hakuna nchi inayoweza kuwapangia China na India.
 
soko kubwa duniani kwa maana ya wanunuaji wa bidhaa zilizo nyingi wenye hela na walio tayar kulipa bei nzuri lipo nchi za magharibi, kwa hiyo china na india ni sawa watanunua gesi na mafuta kwa bei ya kutupa toka urusi (na hapa ina maana urusi anapoteza mapato! maana anauza kwa bei chee) ikitokea nchi za magharibi wakasusia bidhaa za china na india kwa kuwa zimetengenezwa kwa kutumia chanzo cha nishati toka russia tayari china na india watapoteza mapato makubwa sana . China na India ni kweli ni soko kubwa kwa maana ya wingi wa watu lakini si kila bidhaa wahindi wachina wanaweza nunua kwa wingi au kuwa tayai kulipa bei kubwa maana watu hawana vipato vikubwa kulinganisha na nchi za magharibi. China alipigwa msukosuko kwenye huawei na US mpaka huawei wakaanza kufuga nguruwe! usicheze na nchi za magharibi so china na india bado sana kutopangiwa na nchi za magharibi maana soko kubwa na high tech kwa kiasi kikubwa ipo west. Urusi pamoja na kuwa na mafuta na gesi but kwenye uchimbaj na usafirishaji nchi za magharibi wanahusika sana kutoa teknolojia na fedha kwa mfano turbines, valves na spare zingine zinatoka magharibi kwenye kampuni bora kabisa duniani kama siemens ya germany. Nchi za magharibi kwa umoja wao zikikaza si india wala china inayoweza kushindana nazo. Juzi juzi China kasanda kuhusu ziara ya Nancy Pelosi kwenda Taiwan. China anashindwa kuuzia urusi baadhi ya bidhaa mfano spares za magari mfano ABS, maana anaogopa vikwazo vya nchi za magharibi matokeo yake kwa aibu lada anatengeneza gari hazina ABS
 
Back
Top Bottom