Algeria, Nigeria, Niger waingia mkataba wa kuuza gesi bara Uropa, dah! pole kwa Mrusi

Unajua soko kubwa la hao China na India lilipo au unaongea tu ukishatoka kufuturu.
 
Tujiulize mpaka sasa China na India chanzo chao kikuu cha Nishati ni nini? Kama siyo Gesi ya Urusi ni nini haswa? Je chanzo chao kwa sasa kina bei kubwa kuliko Gesi ya Urusi mpaka waone fulsa kuifuata Gesi ya Urusi? Je wako tayari kuacha vyanzo vyao vya nishati wanavyotumia kwa sasa waamie kwenye utegemezi wa nishati kutoka Urusi Kama walivyofanya Ulaya mpaka sasa wanajuta? Na je India na Uchina wana nguvu ya kununua Kama walivyo ulaya kiasi kwamba Urusi apige pesa kupitia Gesi Kama alivyokuwa akipata kutoka ulaya?maana kuna siku kiongozi wa India alisema Kama sikosei( Gesi tunayonunua kutoka Urusi Ulaya wanainunua kwa siku).
Na mwisho tujiulize swali, India na Uchina wanamwitaji Urusi kuliko wanavyowaitaji Ulaya na Marekani kwenye bihashara?
 
Hakuna atakayekubali kubali na Russia. Hili taifa la Russia litaenda kupasuka taratibu.
 
Asipokuelewa hapa nakushauri achana naye.
 
Unajua soko kubwa la hao China na India lilipo au unaongea tu ukishatoka kufuturu.


Soko kubwa limo ndani ya nchi zao wenyewe, china wapo zaidi ya 1.7 billion, India nao ni zaidi ya 1. Something bn, kwa idadi ya hao watu ndio maana nchi za magharibi zinawekeza viwanda vyao huko kwa ajili ya soko la huko na cheap labour, wewe hujui hilo??, changia kabla ya kunywa ulabu.
 
Labda boloharam wawewameondolewa na mmarekani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yaani ktk wasiojua wewe ni wa kwanza, hujui hata sababu ya mataifa ya magharibi kuwekeza Asia na hasa China. Ngoja nikuache kwani usiamshe aliyelala.
 
Yaani ktk wasiojua wewe ni wa kwanza, hujui hata sababu ya mataifa ya magharibi kuwekeza Asia na hasa China. Ngoja nikuache kwani usiamshe aliyelala.


Sio usiamshe aliyelala bali hujui, what a petty excuse!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…